Chura
JF-Expert Member
- Sep 22, 2009
- 1,424
- 2,519
Rapa rapcha aliye chini ya mkongwe baba la manyani P Funk aka Majani majuzi aliachia Diss track inayoitwa STORY NYINGINE akiwaponda wasanii wa hip hop kadhaa, mmoja wa wasanii aliyepondwa ni Mkali wa kuflow kama anaongea Dizasta Vina.
Kwenye Disi hilo Rapcha kamchana Dizasta kwenye mstari ambao anasema
"
Shida unaniskiza huku unarembua ndo utafail
Now your whole story sounds like a stupid tale"
Dizasta akaona dogo usinitanie mwamba akazama booth akachoronga bomu la dk nane aliloiita BEST FRIEND, humo ndani mtu kachanwa huku akikanywa na line iliyobamba ni pale Viteller anakwambia
"Badala ya kuanza kulalamika kwenye kila pini
Chagua kufanya au chagua kuweka mpira chini
Maana kila mbuyu mkubwa una kila jini
Si uungwana wakikuudhi ukiniletea hasira mimi" Dizasta kuongelea Rapcha kama rafiki anayemchukia mtu asiyemchukia .
Baada ya diss crap back Rapcha kaingia Booth kaachia mkwaju NYUCLEAR STORY wataalamu wa hip hop akiwemo One the incredible wanadai dogo kaandika mambo mepesi sana kawa too emotional katukana nyimbo nzima hakuna bars ila bra bra.
Isikize ngoma mwanao chura nakuunganishia hapo chini afu tusimezane ni Rapcha kakurupuka kumjibu Dizasta Vina ama jiwe aliloachia ni pini???

%