Qunax Senior Member Oct 16, 2016 100 127 Mar 16, 2017 #1 Wadau kama kuna mwenye scraper la phantom Z ambalo limekufa mashine lakini display yake bado nzima haina michubuko aniPM.
Wadau kama kuna mwenye scraper la phantom Z ambalo limekufa mashine lakini display yake bado nzima haina michubuko aniPM.
Zabron Hamis JF-Expert Member Dec 19, 2016 6,988 11,155 Mar 16, 2017 #2 Kama unataka mpya, unaagiziwa Kenya yapo mengi tu