mimi nilipata kioo cha simu yangu "samsung galaxy pro y duos" kariakoo .
kama hutosita kuanika galaxy duos yako ni model gani.? kabla ya kwenda kununua kioo, unatakiwa na uhakika ya kwamba ni display pekee (LCD) ndiyo iliyoharibika ama ni Touch screen ndiyo iliyoharibika.?
kama una idea kidogo ya simu na sio mwoga wa teknolojia na ufundi, ukishajua nini tatizo haswa unaweza ukaenda kununua display/touch na kuja kibadilisha mwenyewe kwani vyote ni plug and play.
Mimi baada ya kutrace tatizo nilienda kununua na kubadilisha mwenyewe, so waweza fanya hivyo na wewe. Kariakoo nenda mtaa wa aggrey, uliza duka la kwa erick, hapo hope utapata kioo unachotaka