fixit KEM Member Joined Oct 26, 2014 Posts 89 Reaction score 64 Aug 22, 2016 #1 Habari za jioni wadau, Jamani natafuta dispenser ya kuchanganyia juice yenye walau uwezo wa kuhifadhi lita 20 za juice, kama kuna mdau anajua wapi zinapatikana kwa bei chee ama mdau mwenye nayo anaiuza(used) ani PM....... Jioni njema.
Habari za jioni wadau, Jamani natafuta dispenser ya kuchanganyia juice yenye walau uwezo wa kuhifadhi lita 20 za juice, kama kuna mdau anajua wapi zinapatikana kwa bei chee ama mdau mwenye nayo anaiuza(used) ani PM....... Jioni njema.