AbaMukulu
JF-Expert Member
- Jan 1, 2018
- 2,075
- 3,647
Soma historia fupi ya "HAKUNA MATATA" kwenye thread hiiMatumizi ya neno “Hakuna Matata” yalianzia kwenye sinema ya The Lion King. Kuna ugonjwa uliwapata simba Serengeti miaka ya 90, walikufa sana. Sinema hii ilitengenezwa na wahisani ili kupata pesa ya kutibu simba.
Tuwe na shukran pia tuwe na furaha kuona Kiswahili kinakua.
Wakenya watifuana na 'Wazungu' kuhusu umiliki wa Msemo "HAKUNA MATATA"