Dismass Lyasa anagombea urais TUCTA

Dismass Lyasa anagombea urais TUCTA

Inside10

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
33,764
Reaction score
40,506
1404476780064.jpg
Ndugu zangu, nimetoka kuwasilisha rasmi fomu ya maombi ya kugombea nafasi ya Urais wa TUCTA....hapa naikabidhi fomu kwa Katibu Mkuu wa COTWU Kanda ya Dar Es Salaam, Musa Mwakalinga, atakayeiwasilisha TUCTA.

uchaguzi utafanyika Agosti 4..5, 2014,Dodoma

source: fb page yake
 
Kwahiyo tufanyeje?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
View attachment 168874
Ndugu zangu, nimetoka kuwasilisha rasmi fomu ya maombi ya kugombea nafasi ya Urais wa TUCTA....hapa naikabidhi fomu kwa Katibu Mkuu wa COTWU Kanda ya Dar Es Salaam, Musa Mwakalinga, atakayeiwasilisha TUCTA.

uchaguzi utafanyika Agosti 4..5, 2014,Dodoma

source: fb page yake

Numekutamani niku desmond tutu
 
TUCTA kwanza inatakiwa isambaratishwe haina manufaa yoyote kwa Wafanyakazi:

inakuwaje watumishi wanalalamikia PAYE kwamba ni kubwa alafu viongozi wa TUCTA wanapoenda kukutana na Serikali wanasema iko sawa; na Serikali ikibanwa inasema TUCTA ndiyo waliopendekeza na kuridhia hivyo!!! au ni kutokuwa na uwezo wa kutetea hoja!

.....tunakumbuka enzi za akina TOM MBOYA waliotikisa ukanda huu wa Afrika Mashariki; enzi hizo vyama vya Wafanyakazi vilikuwa na maana siyo kwa sasa.

We kagombee bwana pengine hilo tumbo litafanikiwa kuongezeka.
 
Kweli TUCTA ni mzigo hta mishahara haitoshi lkn eti serikali inakubaliana na TUCTA!!
 
Hajatuambia kilichomsukuma hadi kugombea nafasi hiyo,manake kutetea maslahi ya wafanyakazi si lelemam
 
Back
Top Bottom