Disko lipi lilikuwa kali mtaani kwenu

mkumbwa junior

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
808
1,542
Hivi kwa nn siku hizi tukienda disco haipigwagi blues?
Ukute ulienda peke yako bila mupenzi halafu muda wa blues ufike utaona mtu anazunguka kona zote, utasema midfield kishet, anahaha kuangalia msichana gani yuko pekee, mwisho anatoka nje kwenye kibanda cha kukatia ticket kama kuna anayeingia alone umuwahi.
.
Maana ukimpata muda wa blues hakuna kuongea tena, ndio ushakuwa mmiliki. Kukumbatiana kucheza ilikuwa kitu cha thamani sana....yaani full midenda...kupapasa kama kote unaenda mpaka kusikoendeka lol nimekumbuka sana zamani
.
Nipe hadithi yako;

︎Ulikuwa unamuanzaje mdada ambaye hukuja nae ili mcheze blues? Maana unaweza kuja nae na akasema anaona aibu au hajawahi au anaogopa au hawezagi........

︎Wimbo gani ulikuwa unakubamba sana ktk mbambiano?

︎Huko kwenu lipi lilikuwa disco kali?
︎Unaweza kumbuka viwalo vilivyosha miaka hiyo
︎Tuongee, tukumbuke
.
FB_IMG_1635855472046.jpg
 
Dah! Hapa utakuwa umefanya ubaguzi kwa members wengi humu kwa sababu enzi za blues disco walikuwa wananing'inia!
Anyway, mimi nakumbuka disco la mtaani kwetu ilikuwa Imasco.
 
....Isuna pandw za Singida Dj alikua jamaa flan Dj paylonga....ilikua balaa bia mwendo wa Safar tu aka Mbuyu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom