Dish la KU_band na receiver ya FTA ukiset vizuri unaweza kupata channel ngapi wakuu?

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,000
17,909
Utapata channel ngapi maana sio wote tunapenda madishi ya futi 6 au futi 8

Kuna mtu anatumia madishi madogo ya KU band atuambie yeye anapata channel ngp? ukiwa na receiver kama freesat ,mediacom na nyinginezo?

Haya madishi madogo ya KU band unapaswa kuwa na cm ngp? Mfano kuna ya cm 60, cm 75, cm 90,?

Dish lipi zuri linafaa kutumika kati ya la azam, startimes, continental au zuku?

7ef566a467372944d4883c48278c5d5f.jpg
35e1984e97705557f7c337176b647681.jpg

Mfano wa dish la KU band
Karibuni tujifunze wakuu napenda kufahamu hayo
 
Unapata chanel hazizidi 20Ukitumia dish la azam ukaligeuzia mashariki kwenye satellite ya intelsat 901 64degree East na receiver ya Mediacom FTA unapata
ITV
EATV
CAPITAL
STAR TV
TBC
ATN
TIM
TV MOZAMBIQUE
TV MOZAMBIQUE 2
CHANNEL TEN
UBC
Na zinginezo
Asante sana mkuu kwa majibu murua
Vp kuhusu lnb? Nitatumia ile ile ya azam au nitanunua kidude kingine cha lnb?
Vp nikiwa na dish dogo kama la azam kuna possibility ya kufunga lnb zaidi ya moja?
 
asante sana kwa info dish la tofaut na azam kama ya zuku, continental au startimes yanafaa???

yale madishi ya continental, zuku na startimes ni madogo na hayawezi kuipata satellite ya intelsat 906 ukipata dish la futi 6 ndo itakuwa vyema zaid. azam kuna madishi yao yale ya zamani yalikuwa makubwa kidogo tofauti na haya mapya.
 
hayo ya azam ya zamani nitayapata?
 
WATAALAM HABARI YA JIONI..... NILINUNUA DISH LA DSTV NIKIWA NAFAHAM KUWA NNAWEZAANGALIA MATCH ZA UEFA KWA GHARAMA NDOGO, LAKINI BAHATI MBAYA GHARAMA NI KUBWA SANA, NAOMBA MSAADA JINSI YA KUWEZA KUPATA MATCH KWA GHARAMA NDOGO KWA KUTUMIA DISHI NA KING'AMUZI VYA DSTV AU KING'AMUZI GANI NINUNUE ILA NITUMIE DISH LA DSTV (DISHI DOGO "SIZE") KUWEZA KUPATA MPIRA UEFA, EPL.... NK
 
Ninaking'amuzi cha free satellite sijui kukitumia channel za free na mipira imo naomba pesa 300,000 kabla wataalam kuja
 
Unapata chanel hazizidi 20Ukitumia dish la azam ukaligeuzia mashariki kwenye satellite ya intelsat 901 64degree East na receiver ya Mediacom FTA unapata
ITV
EATV
CAPITAL
STAR TV
TBC
ATN
TIM
TV MOZAMBIQUE
TV MOZAMBIQUE 2
CHANNEL TEN
UBC
Na zinginezo
Hawa wahuni wetu clouds wanapatikana
 
Back
Top Bottom