Discussion 18+

Definitely.

As two consenting adults we are both responsible for the outcome of the act (sex). Therefore if I don't want to get pregnant then I will remind him, and help him put it on if need be.


Men: will you allow a woman to help you Put on a Condom?

Tell us Why?


Wemen: Will you help you partner put on a condom? Tell us why?

Mods. I dont think whether this should go to that Southern Forum. It is a healthy Discussion.

 
Wanandoa wanaweza kutumia condom pia kuzuia mimba.


unaposex na mtu kwa kutumia condmu ina maana unajua ni mgonjwa sio? kwanini sasa u duu na mgonjwa? kwa nini ucheze kwenye mdomo wa mamba?
 
Hhahahaa nimeipenda thread. Hivi kuna mtu hapa hajawahi gegedana KAVU? sema utamu wake? Ntarudi naenda kupiga gahawa.

CHEZEA kavu wewe,,,,,,,, kitu lainisha taratibu bila haraka....mghhh.

REMEMBER SAFE SEX.
 
Hivi we manoah we si under 18 unatafuta nini mpaka this time,afu uko serios unatoa ushauri,wakati umesema ukiona hizo vitu unahisi kichwa kiko kama tofali.Em hama jukwaa fasta ushaona hii for 18 and over.
 
Last edited by a moderator:
bora wame iamishia huku kwa watu wa malavi
Hivi we manoah we si under 18 unatafuta nini mpaka this time,afu uko serios unatoa ushauri,wakati umesema ukiona hizo vitu unahisi kichwa kiko kama tofali.Em hama jukwaa fasta ushaona hii for 18 and over.
 
Be honest VIVIAN, hivi nishakuforeplay utakumbukia inspection ya condom? Na wengine mnavyojuwa kulegea utadhani hamna mifupa...
 
twendeee banaa Blue G ndio unaniacha mwenyewe?

Khaaaaaaaa we mtoto kin'gan'ga kweli si uende peke yako bana,kwani mi under 18 bana em nenda peke yako bana niache mimi panaponistahili.
 
Last edited by a moderator:
Men: will you allow a woman to help you Put on a Condom?

Tell us Why?


Wemen: Will you help you partner put on a condom? Tell us why?

Mods. I dont think whether this should go to that Southern Forum. It is a healthy Discussion.


Ingekua vizuri kwani inanpa shida sana hii kitu haswa kwenye kuitambua ndani ni wapi na nje ni wapi.
 
watu8 sio kwamba ni mbaya ni kwamba ina masharti kidogo katika uvaaji tofauti na ya kiume!

Mfano ina maringi mawili moja kubwa na moja dogo! Lile dogo linaingia ndani ya uke na lile kubwa lina baki juu ya uke, na inaweza kuvaliwa masaa3 hata kabla ya tendo! Kama wanawake wange jifunza kuvaa hizi lady pepeta inge saidia kidogo kupambana na virusi!

Condom ya kike mbayaaa...yaani ili mtu aivae inabidi kwanza sijui ajipige puchu ili iweze kupenya. Ni kama kusokomeza lile tambara ya kukingia unga mashineni kwenye kisalfeti.
 
Last edited by a moderator:
Nadhani huu mjadala una age limit....naona wale wastaafu hatuna cha kuchangia....


Babu DC!!
 
vivian kwangu mimi hapana!

Na hata wengine na washauri wawe wana vaa wenyewe sababu wasichana wengi hupenda kufuga kucha hivyo pengine anapo kuvalisha au kuifungua anaweza kuitoboa! Japo kuna wanaume tunapenda kufuga kucha nayo ni hatari kwa condom!

Men: will you allow a woman to help you Put on a Condom?

Tell us Why?


Wemen: Will you help you partner put on a condom? Tell us why?

Mods. I dont think whether this should go to that Southern Forum. It is a healthy Discussion.

 
Last edited by a moderator:
Hahhahahaha Mamndenyi kwa swala la kugeuka wakati wa kuvaa sidhani kama lina sababu za msingi zaidi ya maamuzi binafsi!

Ila wakati wa kuvua baada ya kumaliza tendo ndiyo inashauriwa kugeuka maana zile mbegu au majimaji vinaweza kumrukia mwenza wako na ikawa kazi bure( ikamsababishia maambukizi ya v.v.u) ndio maana wanashauri kukaa mbali na mwenza wako ikiwezekana kugeuka kwingine wakati wa kuvua condom!

 
Last edited by a moderator:
Very sure and a good point too.

hivi zile za kwenu lady pepeta zipo?? sijawahi kukutana nazo kabisa.

1. mimi huwa napenda sana kama atanivalisha mwenyewe kwanza anakuwa amejiridhisha kuwa iko salama na imekaa vizuri. 2. kwa sisi wenye vitambi saa nyingine huwezi ona kama imekaa vyema, ukijikunja sana kujamba au kupuu kabisa au labda uende kujiangalia kwa kioo
3. kutokana na ile mihemuko unaweza kujikuta umeivaa ikakaa kama kata K baadae uko kwenye 130kph ikazingua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…