Rich Woman
JF-Expert Member
- Dec 18, 2012
- 867
- 558
Rich woman mie nilizani hii 18+ ni kama ilivyo C ++
mwenzangu hapa ni tofauti ni kama tu na hii tunaweza kuiita CHAI CHUNGU style ya kujilipuaaa kwa madame B.....kwahiyo na wewe inabidi uwe muwazi tu
We vivian leo jumangapi? Isijekuwa umedhani leo IJUMAA kama ilivyo kawaida yako! Last ngoja tuimuvuzishe MMU.
Condom ya kike mbayaaa...yaani ili mtu aivae inabidi kwanza sijui ajipige puchu ili iweze kupenya. Ni kama kusokomeza lile tambara ya kukingia unga mashineni kwenye kisalfeti.
kwa nini utumie condomu?
wapi imeandikwa katika maandiko?
acheni kumkosoa mungu
kutumia condomu ni sawa na kufanya tendo kinyume cha maumbile. maana toka asili haijapendekezwa hivo
kwa nini utumie condomu?
wapi imeandikwa katika maandiko?
acheni kumkosoa mungu
kutumia condomu ni sawa na kufanya tendo kinyume cha maumbile. maana toka asili haijapendekezwa hivo
Shemeji unajua unanitukana hadi mimi?
kwa nini utumie condomu?
wapi imeandikwa katika maandiko?
acheni kumkosoa mungu
kutumia condomu ni sawa na kufanya tendo kinyume cha maumbile. maana toka asili haijapendekezwa hivo
ndo maanake angaza zipokha!!! tugegedane kavu kavu jamani
hapa tunazungumzia mambo ya mwiliWapi imeandikwa mwanadamu avae nguo???
Wapi imeandikwa mwanamke aweke dawa nywele?
Wapi imeandikwa mwanadamu atumie kompyuta?
kwa nini mtumie?dahhhhhhh
Ntahakikisha amevaa either nimvalishe au avae mwenyewe ..
ninachoelewa nahakikisha amevaa.
PS. Huwa napenda kusisitiza condom.
Cha muhimu kama we na partner hamtaki usumbufu kapimeni.
tu , halafu bidada tumia njia nyingine kuzuia mimba . mui njoy life.
saa nyingine kula pipi kwenye kinailoni ni ngumu.
so fanya mapenzi na partner wako tu . Na mpime mara kwa mara.
Ila kwa wale bado viruka njia au wakuu zangu wa nyumba ndogo "CONDOM" iwe sala ya baba yetu .Amen.