Nimekose masharti, kumbe ni 18+
Nimekose masharti, kumbe ni 18+
hahahahaha na ulivyoona la 18+ ulijua kabisa halikuhusu ila ile tu kutaka kujua unakatazwa kitu gani wewe tachapwa....hahahaha haya na mimi ngoja ninyamaze maana hamna hata swali naweza kujibu hapo....Arushaone kuna swali lako huku
@Rich woman mbona swali liko open sana! Binafsi mimi Ningependa sana nimsaidie Mpenzi wangu kwa sababu zifuatazohahahahaha na ulivyoona la 18+ ulijua kabisa halikuhusu ila ile tu kutaka kujua unakatazwa kitu gani wewe tachapwa....hahahaha haya na mimi ngoja ninyamaze maana hamna hata swali naweza kujibu hapo....Arushaone kuna swali lako huku
@Rich woman mbona swali liko open sana! Binafsi mimi Ningependa sana nimsaidie Mpenzi wangu kwa sababu zifuatazo
1. Niwe na uhakika ile Condom imefit vizuri
2. Unaweza kuta jamaa ameamua kulazimisha ndoa ya mapema akataka kukupa mimba so anaitoboa kidogo
3. Its some sort of stimulating him I gues
ha ha ha ha ha ha nina utafuta u mama teri kwa nguvu.
manoah una hatari wewe!Samahani, jana usiku huenda , mwenzako alifanya maksudi kuivaa vibaya kwasababu mwenzako anapenda live band pia anahitaji mtoto, ndio maana wakati mwingine anaipasua kitundu, we muachie tu mwenzako. Naamini haya yamekukuta usiku wa leo, alafu usiwe na hofu jamaa yupo safe, tena ujue umeinasa, utapendezaje vivian ujue kama wewe iyo mimba ita kung'arisha kweli, yani mara nyingi mimba za usiku ndivyo zinavyo kua.
@Rich woman mbona swali liko open sana! Binafsi mimi Ningependa sana nimsaidie Mpenzi wangu kwa sababu zifuatazo
1. Niwe na uhakika ile Condom imefit vizuri
2. Unaweza kuta jamaa ameamua kulazimisha ndoa ya mapema akataka kukupa mimba so anaitoboa kidogo
3. Its some sort of stimulating him I gues
ha ha ha ha ha ha nina utafuta u mama teri kwa nguvu.
nitarudi
manoah una hatari wewe!
Kwanza naomba nikujulishe tu kuanzisha hii thread asubuhi haina maana kama nime Duu. In any case mimi ni binadamu and I do have feelings too so hata ningekua nime duu last night its not a crime baby.
Halafu unaonekana kama wewe ni victim wa hizo deadly actions, kwanini utoboe Kondom? kwanini umpe mwenzio mimba zisizo na mpango?
kwanini umpe mwenzio magonjwa? Ladies please take inspect the condom.