Discovery family - DSTV

Abraham Lincolnn

JF-Expert Member
Apr 12, 2018
2,510
4,224
Naangalia kipindi cha ultimate survival kwenye channel 136 Family discovery HD inaonyesha jamaa anavyosurvive kwenye nyika za Africa imefika mahali jamaa kakuta mzoga wa pundamilia katoa kisu akaanza kumla! Aise nimeshangaa ikabidi nije huku niulizie kama kuna ukweli au ni chai!
 
Nikweli, huwa a nafanya vitu zaidi ya hivyo, lakini naamini nyuma ya camera ana daktari na dawa za kutosha.
 
Weishiwa idea za reality program......... .....

Sasa mtu ale mzoga wa pundamilia kisa nn?!
 
Dstv sahv wanazingua kichz ..Maisha magic bongo sahv miyeyusho tuu hamna jambo wanarudia rudia Tamthilia ... Wameishiwa hawa hawana tofauti na startime

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimeamua kuachana na dstv rasmi leo.

Kwa kweli wamenichosha.

Sisi wapenzi wa movies kalikali za maana na zile latest hatuna chetu kwa 19000.

DSTV ni michosho kwa kweli.
 
Mimi nimeamua kuachana na dstv rasmi leo.

Kwa kweli wamenichosha.

Sisi wapenzi wa movies kalikali za maana na zile latest hatuna chetu kwa 19000.

DSTV ni michosho kwa kweli.
Unaongelea 19 mimi nalipa kile cha 49 lakin mamuvi ni yale yale
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom