F35-Bomber
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 1,381
- 1,119
Most people dream carKwenye design ya magari Land Rover iko poor sana, magari yana sura n muonekano mbaya sana.
Haya magari ya ULAYA hususani Wingereza na ujerumani ikivuka KM 100 000 nakuomba iache tu, utakuja utamani hata yule anae miliki Ist number C, Dash board ikianza kuonyesha taa nyekundu kila geraji utafika tu na usiponye hiyo gari.2015 LAND ROVER DISCOVERY 4 SDV6 SE, 139,850 KM, U$ 20,000 Long range fuel tank, spare wheel carrier, 7 seater, navigation bar, Bluetooth, reverse camera, side steps, tow bar, high and low range, off road terrain responce, central locking Sun Roof,No mechanical issues,sold to the public as wholesale in term of Cash and Carry or Advance payment and delivery.
+27687032846View attachment 3205116
Hizo story zilipendwa mkuu,.Siku hizo hayo mambo hakuna hiyo gari unatumia mpaka unatupaHaya magari ya ULAYA hususani Wingereza na ujerumani ikivuka KM 100 000 nakuomba iache tu, utakuja utamani hata yule anae miliki Ist number C, Dash board ikianza kuonyesha taa nyekundu kila geraji utafika tu na usiponye hiyo gari.
Kakuambia nani jaribu uimiliki ikwa na zaidi ya km100.000 utaona gharama za kuimantain hiyo gari, acha ubishi Mnyaru kazileta nyingi hapa ila mitaani hazionekani ziko gereji au majumbani zimepaki, raha ya hiyo gari iwe na KM 50000 au mpya kabisa hapo utakua na guarantee angalau ya miaka ya miaka mitano bila kununu vipuri vopya.Hizo story zilipendwa mkuu,.Siku hizo hayo mambo hakuna hiyo gari unatumia mpaka unatupa
Gari ya 2015 na 136k km kwa $20,000? Kwa kweli Mungu atusaidie tuHaya magari ya ULAYA hususani Wingereza na ujerumani ikivuka KM 100 000 nakuomba iache tu, utakuja utamani hata yule anae miliki Ist number C, Dash board ikianza kuonyesha taa nyekundu kila geraji utafika tu na usiponye hiyo gari.
Umeongea kinyume mzee...Kwenye design ya magari Land Rover iko poor sana, magari yana sura na muonekano mbaya sana.
Gari nyingine hadi watumie vibiriti ku connect, sasa hio D4 inakuja na built in bluetooth, kibongo bongo ni rare feature..Kumbe Bluetooth inaweza kuwa sehemu ya specifications za gar
Sawa mkuu mi nilikuwa nachukulia Bluetooth kama kitu kidogo sanaGari nyingine hadi watumie vibiriti ku connect, sasa hio D4 inakuja na built in bluetooth, kibongo bongo ni rare feature..
Gari nyingi watu wanaendesha leo ni chini ya ,2009 hizo ndizo gari nyingi zipo barabarani kwa Tanzania...Sawa mkuu mi nilikuwa nachukulia Bluetooth kama kitu kidogo sana
Kwakweli namie naipenda hii gari yani ikinipita huwa naitolea machoMost people dream car
Kama you don't mind njoo nikuizie yangu discovery3 mwaka 2003 173000 miles, ulipe kwa installment mwaka mzimaKwakweli namie naipenda hii gari yani ikinipita huwa naitolea macho
Sisi hizo ndio gari zetu na tunaenjoy maisha wewe kama ulinunua mkweche shauri yako !Kakuambia nani jaribu uimiliki ikwa na zaidi ya km100.000 utaona gharama za kuimantain hiyo gari, acha ubishi Mnyaru kazileta nyingi hapa ila mitaani hazionekani ziko gereji au majumbani zimepaki, raha ya hiyo gari iwe na KM 50000 au mpya kabisa hapo utakua na guarantee angalau ya miaka ya miaka mitano bila kununu vipuri vopya.
Hizo siku hizo hazitumiki mkuuKama you don't mind njoo nikuizie yangu discovery3 mwaka 2003 173000 miles, ulipe kwa installment mwaka mzima