unamaanisha ni wa miss neddy ??
Teh teh teh ila wamefanana na mama yao mdogo hatari.....Mbona kama watoto wa utafiti?
Kula kabisa, mechi ya man u ikianza utashindwa kulaunamaanisha ni wa miss neddy ??
Teh teh teh ila wamefanana na mama yao mdogo hatari.....
Kula kabisa, mechi ya man u ikianza utashindwa kula
Akuuu!usiniletee kesi mie watoto wenu iweje wafanane na mimi???
Ni watoto wetu kweli ila sura ile ile ya aunty yao, yaani sijui kwanini imetokea ivi.....