disc

disc

sky_haf

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2012
Posts
220
Reaction score
23
habari, naomba discussion ya mawazo yenu hasa watu wa fani za IT

Kuna umuhimu wa kujua programming languages nyingi (mf. C++,C, phython, perl) au kuwa na language moja ambayo utakua na ufanisi nayo?(mf. Kuwa na python tu, au C++ tu)
 
Back
Top Bottom