Dirisha la usajili hilo!!chadema changamkeni!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dirisha la usajili hilo!!chadema changamkeni!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tolowski, Jun 28, 2011.

 1. T

  Tolowski Senior Member

  #1
  Jun 28, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 122
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa wale 2naofuatilia ligi za uropa 2naelewa ni nini kinaendelea wakati huu! Mojawapo ya sababu kubwa iliyosababisha chadema kukosa viti vingi vya ubunge na udiwani ni kukosa watu makini wa kugombea sehemu mbalimbali! Kwa mfano katika kata ya lizaboni mjini songea watu wameichoka sana ccm,but chadema wakamsimamisha mtu ambaye ni maarufu kwa kunywa pombe za kienyeji na kumpiga mkewe,jamaa ana sifa mbaya sana mitaani ikasababisha watu washindwe kumpigia kura!! Wakati barca,man utd wanahangaika na akina fabrigas,sneider,nasri.... Nawaombeni sana chadema wakati huu kuelekea 2015 ndio muda wa kuhangaika kuwasajili maluteni,kaptein,major,luteni kanali, makanali wastaafu wa jeshi kuongeza kikosi, ndio wakati wa kuwasajili wahadhiri wa vyuo vikuu hata kama ni wa vyuo binafsi kama wamagamba wanawabania wa vyuo vyao vya serikali! What about mapolisi and askari magereza maafisa wastaafu,walimu wa sekondari wastaafu na walio kazini, mamanagers wa sehemu mbalimbali! Si kwamba 2nawabagua watu flan,but dunia imeprove kuwa watu wenye uelewa mkubwa na influence ndio chachu ya mabadiliko! Kama vipi mkamateni mwandosya kabisa, si dau tu jamani!! Kama madrid wanaweza kwa nini nyinyi mshindwe! Fanyeni usajili wazee ili muwazike kabisa magamba! Me nawasubiri,watu wanawasubiri!!!
   
 2. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #2
  Jun 28, 2011
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Dr. wa ukweli alipata kusema wewe mchagulie hata jiwe ataliambia fanya hivi nalo litafanya. Tumekwisha ona maprof. wako kwenye magamba lakini yanaongea pumba za mchele kwenye vikao vya maamuzi.
   
 3. Kayoka

  Kayoka JF-Expert Member

  #3
  Jun 28, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,427
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  pole sana mzee wa lizaboni- kibulang'oma kwa kupoteza kata yako. Me ni mjumbe wa vjana chadema hapo mjini kata ya majengo nilisimama kidete mpaka Idd akashinda kwa awamu nyingine tena. Kama unamkumbuka kada nambari 1 wa ccm hapo Songea -Raymond Kawonga (sasa ni marehemu) huyu ni baba yangu na nikaambiwa nimeshirk kumwua coz ndo alitaka kumtake over Idd. Mpaka sasa family hakuna maelewano na nipo Mwanza kwa sasa.
   
Loading...