Director wa Black Panther aitiwa Polisi kwa kudhaniwa ni jambazi amekuja kupora Benki

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,721
Hii imeamsha hisia za watu kwa watu weusi kutokana na kitendo kilichomtokea muongoza filamu maarufu kwa jina Ryan Coogler ambaye ametengeneza sinema nyingi na iliyopata umaarufu ya black panther.

Ryan Coogler alipatwa na mkasa huo baada ya kwenda benki kutoa kiasi cha dora 10000 na alipofika mapokezi bank teller alipiga simu polisi kudai kuna jambazi kaja kuiba pesa na anaweza kuwa na silaha.

Kwa kweli ni kushukuru Mungu ujio wa polisi ulivyokuja la sivo wangempuzisha kijana wa watu kwa risasi

CNN
Ryan Coogler was detained by police in January after being mistaken for a bank robber.

The "Black Panther" director was in Atlanta, attempting to make a withdrawal from his account with Bank of America. The teller received an alert on his account, according to the police report obtained by CNN, because the amount was more than $10,000. The teller notified her superior that she thought Coogler was trying to rob the bank and 911 was called.

Coogler had written a note on the back of his withdrawal slip stating that he wanted the money to be counted discreetly, given the amount, according to the report.
IMG_5482.jpg
 
WANAFANYA NN ULAYA WAKATI KUNA MAENEO MAKUBWA TU HUKU WANAWEZA ISHI???
 
Muonekano na hela alizonazo ni vitu viwili tofauti,usinasibishe na ubaguzi wakati huyo jamaa ukimuuliza kama ni muafrika hata kubali,Mwambie jamaa yako aanze kujifananisha na hela zake sasa
 
Back
Top Bottom