Director kichwara?

Safi sana,Idd amin hakuogopa mzungu wala mhindi.Alilipa kisasi cha sisi weusi kufanywa watumwa.Weka na ile picha yake akiwa amebebwa na hao wazungu
mshana jr
 
Mzee wangu aliponea kwenye tundu la sindano kwa huyu jamaa, alikua akibukua pale Kampala - Makelele University mwaka 1977, jamaa angemchinja now nisingekuwepo hapa JF, bcoz even my mama alikua hajaolewa na mshua!
 
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
hii kichwa ilikuwa na shida kidogo inasemekana alipenda kula nyama za watuukatili ilikuwa hobby yake
 
Kwenye unafiki pia alikuwa bingwa
 
Mojawapo ya wake zake inasemekana alichinjwa na jamaa kula maini yakealipenda sana mizaha
Haya ni sehemu ya mafuvu na mabaki ya watu waliouliwa kikatili kwa amri yake
 
Asanteni kwa kuangalia mlale salama huku tukiomba Mungu asitokee Idd Amini mwingine Africa [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji124]
 
Asanteni kwa kuangalia mlale salama huku tukiomba Mungu asitokee Idd Amini mwingine Africa [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji124]
Iddi amini kutokea tena itakuwa ngumu na hata akitokea ila kwa kibishi sana na hata maliza mwaka siku hizi silaha zipo za kumwaga na kufyatua ni rahisi mno
 
Iddi amini kutokea tena itakuwa ngumu na hata akitokea ila kwa kibishi sana na hata maliza mwaka siku hizi silaha zipo za kumwaga na kufyatua ni rahisi mno
Kulazwa chini?[emoji87] [emoji87] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Kulazwa chini?[emoji87] [emoji87] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
Kama raia anaweza kulazwa chini basi hata mwanajeshi na polisi pia wanaweza kulazwa chini tena kirahisi zaidi uneona wajeda uchwara wa turkey walichofanywa na raia wao that's the power of the public.peoooooooooopleeeeeeessss. poweeeeeeeeer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…