Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,263
- 44,391
mkuu chief hapo tunadownload vp magame nipe detals kidogo jinc ya ku set opera maana had hapa natumia trick kwenye mozilla
Naomba Ip address ya anwani ya FTP Proxy hapo juu please
ingia kwanza wewe hio ip adress yako 67.55.70.177 utuambie ina nini
hapa niko nadownload lakini imenipa tabu kudownload kwa kutumia ftp, ili kufanya kazi iwe rahisi nimekuja na Http ya same site hapaIndex of ftp://188.134.70.53/ISOila hiyo magemu imegoma kuleta link ya httpftp://89.237.41.12/incomingftp://188.134.70.53/ISOLeta feedback kama kwako itakubaliNa kama utapata shida kuinstall file la iso unatakiwa udownload software moja inaitwa power iso umount hizo game kwanza kabla kuinstall (kama huna cd) au unaweza kuburn kwenye cd then ukainstall
kwa wasiojua ftp inamaanisha file transfer protocal ni nzuri kwa kudownload tofaut na http hizo hapo chini ni link za ftp zenye magame mengi sana na zina advantage kama hizi
-hamna kuwait kusubiri kudownload
-single link hata file liwe gb 5
ftp://89.237.41.12/incoming
ftp://188.134.70.53/ISO
Leta feedback kama kwako itakubali
Na kama utapata shida kuinstall file la iso unatakiwa udownload software moja inaitwa power iso umount hizo game kwanza kabla kuinstall (kama huna cd) au unaweza kuburn kwenye cd then ukainstall
mkuu, who is hosting this?
ip adress hii 67.55.70.177 nimeombwa user name na password,siajua naipataje...help afu kama utakuwa na ip yenye movies tu