Dirceu afungwa jela miaka 11 kwa ufisad Brazil

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Waziri mkuu wa zaman wa Brazili bwana Dirceu amehukumiwa kifungo cha miaka 10 na mize kumi jela kwa kosa la ufisadi mkubwa,
Mahakam kuu ilimkuta na hatia bwana Dirceu ambaye ni swahiba mkubwa wa rais alomaliza muda wake bwana Lula da Silva,pamoja na hukumu hiyo pia anapaswa kulipa dola laki 3 na elf hamsin kutokana na makosa mengine,ikiwepo matumizi mabaya ya madaraka na UFISAD,
sosi:redio iran
NOTE:TUTEGEMEE NINI KWA WALIOFICHA PESA ZA KIFISADI HUKO NJE YA NCHI?
 
bongo magereza ni kwa wezi wa kuku, sufuria na wanaochukua mademu wa mafisadi, hao wenye hela nje wataendelea kupeta tu miaka nenda rudi
 
Back
Top Bottom