njia rahisi ya mtazamo wako tangu mwaka umeanza na mwenendo wa watu humu jf...unaona jukwaa gani kati ya hayo tajwa hapo juu matano ndo yamekua yakipendelewa sana / kuwa very active / kuwavutia wadau wengi humu jfπ
yeap nikwakukoment hapa hapa katika thread hii ,,utai point out jukwaa linaslopendwa mkuu, ukitaka kueleza sababu nayo siyo mbaya
natumai nimekujibu mdauπ
yeap nikwakukoment hapa hapa katika thread hii ,,utai point out jukwaa linaslopendwa mkuu, ukitaka kueleza sababu nayo siyo mbaya
natumai nimekujibu mdauπ
nacomment sana MMU, lakini kabla sijaingia MMU naanzia jukwaa la siasa kujua yanayojiri kwenye hii nchi na kuna vingi vya kujifunza kule. Kuna mambo ambayo hujapata kuyasikia yakizungumzwa sehemu yoyote, utayasikia kule
Nalipenda sana jukwaa la elimu na uchumi. Lina vitu vizuri sana vya watu kujikwamua kiuchumi hasa kwa kuzingatia mazingira tunayoishi. watu wamekuwa waki-share experiences zao tofauti za kilimo, ufugaji, biashara kwny lile jukwaa. watanzania tunahitaji forum ya vitu kama hivyo, hasa tunaposaidiana kuziona na ku-take advantage ya fursa zinatozunguka
sijawahi ingia jukwaa la wakubwa, ngoja nikali-visit leo
napenda pia Kenyan news,
eeh nisije sahau na mapisha ya Farkhina na Mtambuzi