TUTUO
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 3,250
- 2,036
Habari za usiku huu, nakuja mbele yenu kwa wenye ufahamu wa hvyo vitu viwili kwenye heading ya thread hii, tangu awekewe sumu Ex Russia spy yeye na mtoto wake kuna vitu vimeendelea leo baina ya Uingereza na Russia ikiwemo kila mmoja kutaka kufukuza wanadiplomasia wa mwenzie walioko nchini mwake,
Swali linakuja ni kwanini wafukuzwe wanadiplomasia wakati aliyewekewa sumu (nerve agent) alikuwa ni spy? Je wanadiplomasia ni ma spies pia? Tukirudi huku kwetu hawa wanadiplomasia wetu humu kwenye balozi zetu nao ni UWT? Naomba kuwasilisha