Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 4,770
- 10,666
Amechagua Ujinga jamaa anahitaji maombiHuwezi kuelewa kitu wewe. Akili yako imevizwa nawe ukakubali. Unasumbuliwa na UJINGA WA KIHALAIKI
Amechagua Ujinga jamaa anahitaji maombiHuwezi kuelewa kitu wewe. Akili yako imevizwa nawe ukakubali. Unasumbuliwa na UJINGA WA KIHALAIKI
Natamani hii hali isambae mpaka UgandaYalipoanza haya mambo niliwaza kuhusu hili, kwamba tunaweza kujikuta watanzania waliopo Kenya wanafanyiwa unyama kama uliowai kutokea south Africa dhidi ya wazimbabwe na wanaigeria. Kwa akili ya wakenya ilivyo lolote linawezekana.
Dah hii ya moto sana. Itakuwa walimpa paskali frastuation sana duh. Ukisikiliza hii kitu utaelewa kwa TZ kuja kutoboa ni ishu. Ukijitia mjuaji utalala njaa na watoto watataabika. Naelewa kwanini Paskali kachagua kuwa Neutral. Anauma kidogo na kupuliza. Kingine ashukuru sana ni ndugu yake JPM …. Na JPM alisema kikwao Mayala ni njaa…..angekuwa ni ile jamaa ya kule kwetu….. jamaa angepotezwaMsikilize Pascal Mayalla hapa.. Kuna vitu sensitive sana kaongea.. Mkuu Pascal naitumia sana hii video yako lakini ni kwa nia njema kabisa🙏🏿🙏🏿🙏🏿View attachment 3343280View attachment 3343280
Mkuu, ulishausikia msemo huu wa kilatini, ‘In vino veritas’? Kwa tafsiri isiyo rasmi msemo huu unamaanisha kwenye kileo kuna ukweli. Yaani, mtu akilewa anapata ujasiri wa kukueleza kile ambacho kiko moyoni mwake ambacho katika hali ya kawaida asingekueleza. Wazungu wanasema ‘Dutch courage’Inakuwaje mtu kwenye akili Timamu unaanza kuwasikiliza na kuwategea sikio watu ambao unaona kabisa wamelewa pombe mpaka ufahamu kuwatoka.
Ni jambo jema kujifariji japo kujifariji huko hakubadili uhalisiaMnahangaika na wakenyaaaa, hawana lolote hao, wana mengi ya kupoteza kuliko sisi.
Inferiority complex
Wananchi Kenya watishia kuwatimua Watanzania wanaofanya biashara na kazi Kenya
View attachment 3343246"Mimi kama Mbunge wa Nyatike, jimbo langu linapakana na Tanzania na Uganda. Nyatike ipo kwa kona ya Kenya kabisa, mahali ukivuka unaingia Tanzania na ukienda kidogo unaingia Uganda. Kitu ambacho hawa watu wetu walikuwa hawajaelewa vizuri, hii mambo ya freedom of speech kwa East Afrika nzima, ipo Kenya peke yake. Ukivuka mpaka, hayo mambo unaacha hapa Kenya.
Hawa majirani zetu watu wa Tanzania hawajafika hii kiwango ya Kenya. Hapa Kenya unaweza kusema kitu unataka lakini siyo Tanzania. Sisi tunaosafiri mara kwa mara kwenda Tanzania kwa biashara tunaelewa. Tanzania kuna amani lakini ni ya hofu. Mtanzania hata ndugu yake awe arrested illegally hawezi kuongea, ataenda kupost kwa social media. Na huko social media atafungua fake account ili asijulikane ni yeye. Au atapeana story kwa prominent figures wamsaidie kusema lakini kwa masharti wasimtaje kwa jina. That is the level of cowardice walionayo watu wa huko.
Kwa hiyo hawa activists watu wetu kabla hawajaenda huko walitakiwa wawe wanajua hiyo situation. Siasa ya Kenya na siasa ya Tanzania iko tofauti kabisa. Hii demokrasia tunafurahia hapa Kenya mahali watu wanaweza kuexpress vile wanataka, hakuna kwa kwa jirani. Na siyo Tanzania tu hata ukienda Uganda, DRC, Rwanda, Burundi na South Sudan hakuna. So the whole East Africa community, freedom of speech ipo Kenya peke yake.
So kama tunataka mabadiliko ili majirani wawe na freedom of speech kama tuliyonayo, itachukua muda. Bado hawa watu wako kwa usingizi mzito ambao Kenya iliamka kwa huo usingizi over 20 years ago. Hizi initiatives za kudefend human rights kwa wenzetu zinaitwa ghasia. Kenya mtu akiwa abducted ukimsemelea awachiliwe unaitwa human rights defender, lakini kwa Tanzania unaitwa mchochezi unahatarisha amani. Kwahiyo hizi initiatives za kudai human rights ziishie kwa mipaka ya Kenya, wakienda kwa jirani waheshimu sheria za huko. Ni ngumu kutetea watu ambao hawajakuwa tayari kutetewa. Give them time watajitetea wenyewe" Tom Odege, Mbunge Nyatike.!View attachment 3343277
Hadi hapa naamini kabisa Tz haitakuja kuwa na Rais mwanamke kama USA tuWanaomshauri Mother wanamwingiza chaka sana sidhani kama wanania nzuri nae sijui kwanini haling’amui hili,atakuwa na rekodi mbaya sana kulinganisha na watangulizi wake na atafanya wanawake wasiaminike kupewa nafasi ngazi za juu.
Padri wawili warambwa shaba hapo Kenya wiki hii.Ila Wakenya wapo awake sana mazee. Tukifika hii level ndio viongozi watakuwa na Adabu
Samia na JPM huwa vinywa vyao havina break . I Doubt kama vinatoka kichwàn kweli
Halaf ni kama hawa watu hawajui position ya Urais. Ishu Kama ile ilipaswa kujibiwa na waziri au katibu sio Rais
Alishasema kifo ni kifo kauli mbaya kabisa kutolewa na Rais…. Ngoja siku Wanu au Abdul afe ndio aje kutuambia kifo ni kifo
Now anasema nchi ya Kenya imeharibika….. that was bad statement na unethical ni kukosa weledi wa kidiplomasia….kauli ya Samia ilimaanisha Kenya imeharibika
Ruto kamjibu Samia kuwa Kenya is the best country in EAC na wakenya wawe proud na nchi yao.
Hivi kati ya Kenya na TZ …. Ni ipi imeharibika ?
Nchi ambayo mtu unaweza kutolewa kwenye gari na ukauliwa na serikal isifanye chochote, nchi ambayo unatekwq na kuuliwa na gvt haina majibu….. nchi ambayo mtu unakula shaba nje ya bunge na gvt haijui chochote ?
Hiyo ndio nchi bora ?
Ubora wa TZ ni upi? Nchi ambayo Raia wake hawàna uwezo wa kusimamamisha maamuzi ya Rais dhidi ya resources zao…. Ni nchi hiyo ? Nchi ambayo raia hawana uwezo wa kuquestion decion za viongozi, ni nchi hiyo?
Kenya is far better than TZ kwa Level zote. TZ ni worst country …. Waandishi wa habari kenya wanamwambia Ruto lwenye maandamano watu 3 wamekufa ; Je Rais, huoni kuwa Mikono yako imejaa damu na ww ni muuaji ? Apo TZ ukimuhoji Rais ivo imekula kwako… muulize Paskali Mayalla…
. Samia amepoteza contrôl sana yani na hajui anafanya nini ; muhimu kumekucha
@masai dada we ni mchuuzi, mwamba kaongelea wafanyabiasharaSio kweli
Mimi tu nasafirigi kufata mzigo
Lala namanga alafu asubuh heaabu hice zilizobeba watz kuingia nairobi kuanzia saa 8 usiku na hiyo ni daily
Eti Azizi
Mambo ya mtandaoni bwwana
watu hawajui tofaut ya mfanyabiashara na mchuuzi mkuuNadhani hujui maana ya mfanyabiashara
kumbe ulimwambia? na mm nimekaziaWewe ni mchuuzi siyo mfanyabiashara
Sawa@masai dada we ni mchuuzi, mwamba kaongelea wafanyabiashara
Sio kipi wafanye na kipi wasifanye,sababu walishakutwa na hatia.Walipaswa kukamatwa na kuangalia sheria zinasema nini kulingana na makosa yao au kuwarudisha tu kwaoNi mambo ambayo watanzania hawaelewi hasa ukizungumzia Diplomacy.
Unapomuua Baba anayet
Gemewa na watoto mke ,ndugu na jamii basi tegemea hizo athari hasi zitafika hadi kijijini ndani ndani kabisa kwakuwa mambo yameunganika in one way or another.
Nilikuwa sion sababu zozote za kumpiga na kumuumiza MTU in diplomatic relations tulikuwa tunaweza kuwaruhusu hao jamaa kuingia Tanzania na hapo hapo tukawaambia kuwa kipi mfanye na kipi msifanye .
Ila ndo hivyo
Yeah