Wananchi Kenya watishia kuwatimua Watanzania wanaofanya biashara na kazi Kenya
View: https://www.facebook.com/share/v/1CQNCpp8wM/?mibextid=xfxF2i
Ila Wakenya wapo awake sana mazee. Tukifika hii level ndio viongozi watakuwa na Adabu
Samia na JPM huwa vinywa vyao havina break . I Doubt kama vinatoka kichwàn kweli
Halaf ni kama hawa watu hawajui position ya Urais. Ishu Kama ile ilipaswa kujibiwa na waziri au katibu sio Rais
Alishasema kifo ni kifo kauli mbaya kabisa kutolewa na Rais…. Ngoja siku Wanu au Abdul afe ndio aje kutuambia kifo ni kifo
Now anasema nchi ya Kenya imeharibika….. that was bad statement na unethical ni kukosa weledi wa kidiplomasia….kauli ya Samia ilimaanisha Kenya imeharibika
Ruto kamjibu Samia kuwa Kenya is the best country in EAC na wakenya wawe proud na nchi yao.
Hivi kati ya Kenya na TZ …. Ni ipi imeharibika ?
Nchi ambayo mtu unaweza kutolewa kwenye gari na ukauliwa na serikal isifanye chochote, nchi ambayo unatekwq na kuuliwa na gvt haina majibu….. nchi ambayo mtu unakula shaba nje ya bunge na gvt haijui chochote ?
Hiyo ndio nchi bora ?
Ubora wa TZ ni upi? Nchi ambayo Raia wake hawàna uwezo wa kusimamamisha maamuzi ya Rais dhidi ya resources zao…. Ni nchi hiyo ? Nchi ambayo raia hawana uwezo wa kuquestion decion za viongozi, ni nchi hiyo?
Kenya is far better than TZ kwa Level zote. TZ ni worst country …. Waandishi wa habari kenya wanamwambia Ruto lwenye maandamano watu 3 wamekufa ; Je Rais, huoni kuwa Mikono yako imejaa damu na ww ni muuaji ? Apo TZ ukimuhoji Rais ivo imekula kwako… muulize Paskali Mayalla…
. Samia amepoteza contrôl sana yani na hajui anafanya nini ; muhimu kumekucha