hawako accredited aisee.kama wako registered na Nacte at least unaweza kuwafikiria
hakuna diploma Tanzania ya mwaka mmoja,akitakla kuendelea na shule mfano kufanya degree itamsumbua sana!Mpeleke Techno-Brain New Horizon mnazi mmoja diploma mwaka mmoja tu dola 1500 hawa jamaa wamesajiliwa na NACTE full registration.
kwani chuo cha diplomasia kurasini kilikuwa kinatoa diploma miaka mingapi? si mmoja.hakuna diploma Tanzania ya mwaka mmoja,akitakla kuendelea na shule mfano kufanya degree itamsumbua sana!
hakuna diploma Tanzania ya mwaka mmoja,akitakla kuendelea na shule mfano kufanya degree itamsumbua sana!
word! now your talking,huwa tumefundishwa kukariri sio kuelewa ndio maana mtu aliyesoma diploma ya computer ya mwaka mmoja ana uelewa zaidi kuliko wa computer kuliko aliesoma diploma ya miaka miwili hii inatokana na kuspecialize kwenye kitu anachosema kama ni networking basi ni hiyo hiyo networking na kama ni programming basi ni hiyo hiyo,sasa hizi diploma za kwetu huku yaani mnasoma mambo mengi sana yasiyokuwa na kichwa wala miguu ili mradi madaftari yajae,unakuta baadhi ya vyuo bado inafundisha wwindows 98 na mwanafunzi anakuta maswali kabisa kuhusu hiyo kitu,sasa tuje upande wa pili huyu mwanafunzi atakwenda kukutuna nayo wapi hiyo windows?hapa watu wanachoangaikia ni MAKARATASI wengine wanaita vyeti ! lakini kama ni kwa ajili ya ujuzi,uelewa nk hata miezi sita unaweza kuhitimu degree tu.Lakini kwa nchi za afrika tunathamini sana MAKARATASI yenye A,A+ Nk wakati kichwani hatuna kitu.
hawako accredited aisee.
The National Council for Technical Education (NACTE)
kuna sehemu ya accreditation check. TB wako ktk process za kuwa accredited.