Diploma ya medicine amepata GPA 2.9, ushauri wenu wadau

Aangalie kama anakizi vigezo akasome AMO Assistant Medical Officer 2 years. Baada ya hapo atamalizia miaka 3 kama atapenda kuendelea. Kuna wakati inabidi upite njia hata ambazo hukupenda ili tu kufikia mafanikio. Mpe hongera 2.9 pia si haba.

Heavy Weight
Mzee hebu fafanua hapo kaka
 
Aangalie kama anakizi vigezo akasome AMO Assistant Medical Officer 2 years. Baada ya hapo atamalizia miaka 3 kama atapenda kuendelea. Kuna wakati inabidi upite njia hata ambazo hukupenda ili tu kufikia mafanikio. Mpe hongera 2.9 pia si haba.

Heavy Weight
Fafanua mkuu Amo miaka 2 then anaruhusiwa kusoma MD 3 Inakuaje hapo mkuu
 
Mkuu from what I 'hv been observing ni kwamba most of the MDs wamekuwa wakifanya internship huku hospitali za mikoani za misheni ambapo experts ni wakongwe Amos na ni majembe kweli kweli kwa surgeries na matibabu ya kawaida na ukiangalia mda wa kusoma amo alitake 3 yrz diploma na 2yearz za amo istoshe practise wodin uanza first year ya diploma lakin MD hadi afike 4th year na ndo mana hutakaa uskie internship ya amo ,,, sasa sielew kwann kumdharu amo kumuita VODA fasta wakat what MDS does the same to AMOS ,,,,ukitaka thibitisha ili njoo mikoani ujionee they r saving life of our people
Kiasi fulan nakubali maana nilipokuwa field temeke Machief wetu wengi ni Amo
 
Mkuu from what I 'hv been observing ni kwamba most of the MDs wamekuwa wakifanya internship huku hospitali za mikoani za misheni ambapo experts ni wakongwe Amos na ni majembe kweli kweli kwa surgeries na matibabu ya kawaida na ukiangalia mda wa kusoma amo alitake 3 yrz diploma na 2yearz za amo istoshe practise wodin uanza first year ya diploma lakin MD hadi afike 4th year na ndo mana hutakaa uskie internship ya amo ,,, sasa sielew kwann kumdharu amo kumuita VODA fasta wakat what MDS does the same to AMOS ,,,,ukitaka thibitisha ili njoo mikoani ujionee they r saving life of our people
Ipe MD heshima yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njia ya pili na rahisi,atumie alternative qualifications kwa kwenda kusoma BS majoring in Physics/Chemistry/Biology/Zoology then baada ya iyo miaka 3 aapply MD kama atakua bado na passion na Medicine..

Mpe pole lakini mtie moyo that there is always an open door to success.
GPA yake aimruhusu wanaitaji gpa 3 kwa course za degree in addition new tcu guiding inamtaka awe na credit 3 o-level
 
Back
Top Bottom