statement_
Member
- Sep 11, 2016
- 10
- 4
wana jf mambo vipi wadau polen na majukumu ivi kati ya food science na mining eng ipi inatoa na hipi ni ngumu katika usomaji hasa kwa chuo kama DIT,kwenda degree coz ipi wanafaulu sana kati ya hizo mbili???
Soma Food Science unaweza kujiajiri mwenyewe na kufungua Viwanda vya usindikaji bidhaa utakayopenda. Nasikia huku tuendako hata karanga zinazouzwa lazima uwe umesomea kusindika!wana jf mambo vipi wadau polen na majukumu ivi kati ya food science na mining eng ipi inatoa na hipi ni ngumu katika usomaji hasa kwa chuo kama DIT,kwenda degree coz ipi wanafaulu sana kati ya hizo mbili???
wanasema itakuwa Tz ya viwandaSoma Food Science unaweza kujiajiri mwenyewe na kufungua Viwanda vya usindikaji bidhaa utakayopenda. Nasikia huku tuendako hata karanga zinazouzwa lazima uwe umesomea kusindika!