Ukiwa na ufaulu unaotakiwa unaweza kusoma BVM (Bachelor of Veterinary Medicine) na Bachelor Science in Animal Science.Habari wadau wa jukwaa hili pendwa...
Nauliza kuhusu hii Diploma ya ANIMAL HEALTH AND PRODUCTION, ina bachelor degree hapa Tz hasa pale nyumbani kwetu SUA..
Au
Nikiwa na Diploma hiyo naweza kusoma bachelor degree gani pale SUA...?