Mr_Teacher
JF-Expert Member
- Feb 28, 2021
- 362
- 344
Hao ote hawana diploma bali wana advance diploma ambayo ilikuwa ni kama bachelor kipindi hichoWanabodi, naomba kujua hivi vitu wanatumia vigezo gani kufanyika?
1. Nmeshaona jamaa ana Diploma then Masters, hakupiga Bachelor Degree...
Nashukuru kwa ufafanuzi wako kuhusu wa Bachelor to PhD, ila bado sijapata wa kuhusu Diploma to Masters, maana nmeona kuna watu wawili wanazo nkajiuliza imekaaje, lkn naanza kupata mwanga labda kwa sababu ya Experience pengine kama ilivyokua kwa Shigongo with just darasa la saba lkn akapiga Bachelor Degree1. Hamna diploma to masters ila kuna advanced diploma to masters ( hii AD ni equivalent to bachelor lakini unatakiwa kupiga postgraduate diploma ndo uende masters lakini unapokuwa na AD na uzoefu nadhan wa 3+ yrs kazini kwa equivalent studies basi utafanya masters direct kutoka AD)
NB: pgd ya udsm pia unaweza kuupgrade kwenda masters na usipate cheti cha pgd ukapata masters tu.
2. Kutoka bachelor mpaka Ph.D ni kawaida kabisa, unapofanya masters by thesis huwa kuna kuupgrade kupitia ruhusa kutoka kwa seneta na kuunganisha Ph.D lakini hauwezi kupewa cheti cha masters hivyo utaweza kumaliza ukiwa na PhD tu. Hii ni fursa kwa Thesis sio wale wa Coursework na dissertation. Kwa nchi yetu wanafanya na wapo watu wengi sana wanafanya hivyo, kaangalie cv za walimu wa udsm kwenye prospectus zao utaziona. Baadhi wanaoingia kwenye siasa na kutoka kwenye academics ndo tumejikuta tukiwaona lakin wapo sana vyuoni.
NB: wengi (sio wote) wanaofanya PhD ni wale walio kwenye sekta ya research na taaluma so kujua wapo kawaangalie maeneo hayo.
cc mahondawNaona mleta mada umepata muongozo...
Kesha pigwa chini kitambo.
Naomba ufafanuzi wa masters naona umezitaja kama tatu coursework na hizo zingine.1. Hamna diploma to masters ila kuna advanced diploma to masters ( hii AD ni equivalent to bachelor lakini unatakiwa kupiga postgraduate diploma ndo uende masters lakini unapokuwa na AD na uzoefu nadhan wa 3+ yrs kazini kwa equivalent studies basi utafanya masters direct kutoka AD)
NB: pgd ya udsm pia unaweza kuupgrade kwenda masters na usipate cheti cha pgd ukapata masters tu.
2. Kutoka bachelor mpaka Ph.D ni kawaida kabisa, unapofanya masters by thesis huwa kuna kuupgrade kupitia ruhusa kutoka kwa seneta na kuunganisha Ph.D lakini hauwezi kupewa cheti cha masters hivyo utaweza kumaliza ukiwa na PhD tu. Hii ni fursa kwa Thesis sio wale wa Coursework na dissertation. Kwa nchi yetu wanafanya na wapo watu wengi sana wanafanya hivyo, kaangalie cv za walimu wa udsm kwenye prospectus zao utaziona. Baadhi wanaoingia kwenye siasa na kutoka kwenye academics ndo tumejikuta tukiwaona lakin wapo sana vyuoni.
NB: wengi (sio wote) wanaofanya PhD ni wale walio kwenye sekta ya research na taaluma so kujua wapo kawaangalie maeneo hayo.
Coursework and dissertation (ni kitu kimoja) unaingia darasan na kusoma kawaida na hapo ndo neno course work linapotokea na baada ya hapo unafanya research/disertation kwa miezi 6 au mwaka kwa baadhi ya kozi.Naomba ufafanuzi wa masters naona umezitaja kama tatu coursework na hizo zingine.
#MaendeleoHayanaChama
Aisee huyu jamaa unaye hadi jibu lipatikane [emoji119]Kuna jamaa ana Diploma na Masters, na ni muajiriwa Serikakini
Halafu nmeona kumbe hata Waziri Mkuu Sumaye ana Diploma then Masters, hii kitu inakuaje kuaje🙄Aisee huyu jamaa unaye hadi jibu lipatikane [emoji119]
Naomba ufafanuzi wa masters naona umezitaja kama tatu coursework na hizo zingine.
#MaendeleoHayanaChama
Yaani Umesoma postgraduate then una upgrade kupata master how
jiwe angavu
Advanced Diploma ni equivalent to Bachelor DegreeKuna zile advance diploma