Diploma to degree mbona kimya application TCU 2016/2017?

Diploma to degree mbona kimya application TCU 2016/2017?

JITU LA MIRABA MINNE

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2015
Posts
726
Reaction score
482
Mbona kimya wadau wenye diploma wanaotaka kuapply kwenda degree tupeane dondoo mambo yakoje. Tunaomba nyepenyepe lini utafunguka huo ukurasa tuanze kuapply mm kichwa kinaendelea kupata moto.

Aaaaarghhhhhh
 
duuuh kweli man ungekuwa unafuatilia usingekuwa haufaham mpaka sasa, tarehe nane kiongozi
 
so tarehe nane bado?mbaya zaid wanashindwa ku update information kwenye web yao...mpaka leo inasoma tar 8,what the heck is that?TCU mnatesa wadogo zetu be specific,u must be efficient not effictive
duuuh kweli man ungekuwa unafuatilia usingekuwa haufaham mpaka sasa, tarehe nane kiongozi
 
CAS will be opened for applicants with diploma qualifications on 8th August 2016. Thank you.
 
Mbona kimya wadau wenye diploma wanaotaka kuapply kwenda degree tupeane dondoo mambo yakoje. Tunaomba nyepenyepe lini utafunguka huo ukurasa tuanze kuapply mm kichwa kinaendelea kupata moto.

Aaaaarghhhhhh
Tulieni saiv tunashughulika na UKUTA kwanza
 
Wanajadili kuhusu kuongeza 3.5 ama kupunguza sasa mm sielewi hivi kweli ukiwa una gpa kubwa ndio unaweza fanya kazi kulingana na gpa yako??dah magu sio fair
 
Back
Top Bottom