Siku mahanisha hivyo unavyo fikiri kaka!,, samahani kama nimekosea kwenye maelezo yangu,,!@ Na mdogo wangu amekosa mkopo hapo.. nilipambana kumsomesha diploma, ni yatima anasoma science .. nilizani itakuwa nimepunguza mzigo lakini hapana,.! kwangu sio kitu kidogo.
Samahani sana mr Upepo pesa.