Diploma au advance?

Ajax Ace

Member
May 28, 2017
50
22
Habarini wakuu
Nina mdogo wangu kamaliza kidato cha nne 2016 na kupata alama hizi..
b/math C kisw B
Bios A Geog C
Phys C Eng B
Chem C civ C
Add/math F
anataka kusoma diploma ya clinical officer lugalo au kibaha kutokana na ushaur alopewa na watu tofauti pia anafikiri kwenda advance akasome pcb malengo yake ni kusoma medicine.
je wana JF munamshaurije huyu dogo?
Apige advance au aende diploma?
 
Nimeona diploma wanalia lia tu siku hizi.
Hebu akapige pcb kwanza advance atengeneze tokeo zuri ili aje kupiga medicine yake hiyo chuo
 
Habarini wakuu
Nina mdogo wangu kamaliza kidato cha nne 2016 na kupata alama hizi..
b/math C kisw B
Bios A Geog C
Phys C Eng B
Chem C civ C
Add/math F
anataka kusoma diploma ya clinical officer lugalo au kibaha kutokana na ushaur alopewa na watu tofauti pia anafikiri kwenda advance akasome pcb malengo yake ni kusoma medicine.
je wana JF munamshaurije huyu dogo?
Apige advance au aende diploma?
Kama anataka medicine inabidi afix huo mswaki wa maths kwnza kila chuo wamemention maths km ana ubavu anende advance annue mtihan form4 asome maths ili akienda degree awe na japo D maths hana ubavu inabidi atafute option nyengine
 
kwahio humshauri kupiga advance pcb?
Ndio akasome diploma tuu mkuu ,kwanza atapata fani kuliko kwenda advance afu akakwama tena atakua kapoteza mda.
NB:Kama yuko fresh acha akakomae na mziki wa pcb.
 
Mkuu kuna B.Math ana C ila Addition Math ile ya kibabe Ndio ana F... ruksa kunisahihisha
Mzee magu alisema huwezi maliza 4m 4 ukaenda diplomaaaa ukimaliza 4m 4 uende 5 6 then diploma kwa sheria zake ili uende chuo ukimaliza 4m 4 lazima upge certfcte then diplomaaaa DODOMA walo weng hawakurudi huwez maliza 4m 4 then diploma ilikuwa kwa NYERERE MWALIMU LA 4 THEN UALUMU huyo aendee 5 au certifct
 
Akasome A level cku hizi NACTE wanabana sana kwenye Dip za Clinical pia atasoma mingi sana,A level short cut lakini chacha .........
 
Back
Top Bottom