Diploma au advance?

Diploma au advance?

Awezi kwenda diploma.... Currently Ili mtu asome diploma lazima awe amemaliza advance..... Ajitahid kukaza... By chance anaweza kwenda chuo kikuu au diploma
 
Siku hz diploma wote hawapew
Mikopo so kama anaamua kwenda huko ajue atajipangaje na degree
 
aende A-level narudia tena aende A-level achana na maneno ya watu kwamba eti nikupoteza mda Mara ooh ni ngumu mbona watu tumepita anachotakiwa ni kupambana ukipitia advance unapata wigo mpana wa kuchagua unachotaka kusoma..hata hivyo walinishauri na mm kipindi hicho bado nasoma niachane na advance niende diploma sikufanya huo ujinga na sasa naona faida yake
 
Awezi kwenda diploma.... Currently Ili mtu asome diploma lazima awe amemaliza advance..... Ajitahid kukaza... By chance anaweza kwenda chuo kikuu au diploma
Mkuu umeona guideline ya nacte kuhusu kwenda diploma au unaongea tu....! In short ni kwamba anaweza kwenda diploma labda umshauri kwa njia ingine
 
Mzee magu alisema huwezi maliza 4m 4 ukaenda diplomaaaa ukimaliza 4m 4 uende 5 6 then diploma kwa sheria zake ili uende chuo ukimaliza 4m 4 lazima upge certfcte then diplomaaaa DODOMA walo weng hawakurudi huwez maliza 4m 4 then diploma ilikuwa kwa NYERERE MWALIMU LA 4 THEN UALUMU huyo aendee 5 au certifct
Magu alisema tu ila haikupitishwa mkuu...! Guideline mpya za nacte mwaka wa masomo 2017/2018 bado zinawapa nafasi waliomaliza form 4 kusoma diploma tena hadi hiyo ya Clinical officer, kama kuna wengine huko kwenu ulikuwa umesha wakatisha tamaa na huu ushauri wako basi watafute uwaelekeze upya
 
Habarini wakuu
Nina mdogo wangu kamaliza kidato cha nne 2016 na kupata alama hizi..
b/math C kisw B
Bios A Geog C
Phys C Eng B
Chem C civ C
Add/math F
anataka kusoma diploma ya clinical officer lugalo au kibaha kutokana na ushaur alopewa na watu tofauti pia anafikiri kwenda advance akasome pcb malengo yake ni kusoma medicine.
je wana JF munamshaurije huyu dogo?
Apige advance au aende diploma?
advance ni trial and error tena combination yenyewe ni pcb , inabid akatulie sana na kupiga book, hata hivyo vyuo vikuu hasa program za afya zina ushindani mkubwa sana and therefore most of people prove failure and by then weng wao hukimbilia ualimu na program nyingine ambazo hawajawah kuzifikiria, kwa mfano mm nimemalza fm 6 last year na darasa letu ambalo lilikuwa na wanafunz 110 pcb ambao walkuwa wanajiita madokta , mpaka hiv sasa watu 3/110 ndo wamebahatika kupata vyuo vya afya (medicine+others) weng we2 ni walimu.
 
aende A-level narudia tena aende A-level achana na maneno ya watu kwamba eti nikupoteza mda Mara ooh ni ngumu mbona watu tumepita anachotakiwa ni kupambana ukipitia advance unapata wigo mpana wa kuchagua unachotaka kusoma..hata hivyo walinishauri na mm kipindi hicho bado nasoma niachane na advance niende diploma sikufanya huo ujinga na sasa naona faida yake
Kama ulifanikiwa kusomea ulichoplan hongera, ila kwa mwaka jana na mwaka juz pcb weng div 2 and 1 bado systew iliwatema na kujikuta wanakimbilia education, mtoa mada hana haja na wigo mpana kwan kajilimit kwamb anataka MD only, pia ugumu wa pcb sio case unaweza ukapata div 2 au 1 lakin je atapata hiyo MD? yakikuta ndo utaJua na lazima ieleweke kwamba kila njia ina strength na weakness zake lakini pia " PCB NI COMBINATION NA SIO UDAKTARI, Weng huishia kunawa tu na kutokwa na mate wakat chakula kinaliwa na wengine.
 
Asante kwa maelezo mazuri mkuu.
 
Back
Top Bottom