Dinner with Madam President

Hakuna kinacho shindikana maridhiano 2023
 
Nasikia uzi wake pendwa ni ule wa kula kimasihara
 
Keyboard warriors wakilambishwa asali wanakua praise team.

Wataimba mapambio na kupiga kaswida on top of their voices.
Hii nchi haiwezi kuendelea. Jitu nzima linawaza utoto hadi inashangaza. Kuna watu humu ndani waliruka stage ya utoto
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Acha mama aendelee kufatilia ligi za mabingwa barani Jamiiforums,,.hakika kuna mitanange ya kukata na shoka [emoji4]
 
Huyu Jobless hajapata Alerts tu kwamba mama kasema anapitiaga JF,angekuwa kashapata taarifa jana ileile angeshaunda nyuzi zaidi ya 6 tusubiri apate bundle kwanza tuone
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…