Dinner with Madam President

Sipati picha uyo mpwayungu village itakuaje🤣 na vipi kuhusu ndugu yangu dronedrake
 
Tate Mkuu akikosa mwaliko, hiyo dinner na Madam President, itapooza sana.

Maana kwa hakika atapata wasaa wa kumuona Mzee wa Kisambaa, ambaye kwa kweli alistahili kabisa kuwa sehemu ya Baraza lake la Mawaziri, kutokana na hekima, na busara zake nyingi alizojaliwa na Mola wake.
 
Umekosea kusema yohana mbatizaji atakuwa kapigilia suti.

Siku hiyo ukiona mtu amevaa moka, suruali nyeusi, tisheti ya njano na kofia ya kijani imechokachoka hivi halafu ananuka komoni au mbege basi ujue huyo ndiye yohana mbatizaji.
 
Sahihi kabisa ila naamini huyo mzee sio February snr [emoji23]
 
Mbona kama rangi za upinde juu yao?
😂😂😂Halafu eti mods wameifuta picha ambayo wameipost wenyew kwenye mitandao mingine ya kijamii ila kuletwa Jf imekuwa nongwa nimeshangaa sana..Nadhani hii comment ndio imefanya waifute hiyo picha
 
😂😂😂Halafu eti mods wameifuta picha ambayo wameipost wenyew kwenye mitandao mingine ya kijamii ila kuletwa Jf imekuwa nongwa nimeshangaa sana..Nadhani hii comment ndio imefanya waifute hiyo picha
Wana mapepo hao mods
 
Hii itakuwa funga mwaka
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Halafu eti mods wameifuta picha ambayo wameipost wenyew kwenye mitandao mingine ya kijamii ila kuletwa Jf imekuwa nongwa nimeshangaa sana..Nadhani hii comment ndio imefanya waifute hiyo picha
Kule haikuwa na maoni huku watu walianza kuijengea hoja mbalimbali
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…