mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,672
madam president ataomba kuonana na Genta na mpwayungu wayajengeSijui diku hiyo itakuwaje
Mama kaweka wazi kuwa huwa anapitia huku JF na kuperuzi majukwaa mbalimbali, am sure huwa kuna baadhi ya ID, post, replies huwa vinamchekesha sana
Yanayodhaniwa hayawezekani kuna siku yanaweza kuwezekana! Chakula cha usiku /get together wana JF na mama rais kwa mwaliko maalum!
Siku hiyo hao watakaobahatika kualikwa am sure watavunja makabati kwa kutafuta kiwalo kikali cha kuonekana kwenye video na rais
Sasa kichekesho kitakuja hapo ukumbini... Mama akiwa kakaa meza kuu anawaangalia waalikwa wake walivyo wapole na watakatifu... Kwakuwa kutakuwa hakuna kutambulishana ID za JF.. Basi mama atakuwa tu anafanya guess work kichwani mwake [emoji23]
Yule kwa kumtazama tuu ni rickboy Mzee wa kula tunda kimasihara
Yule kwa pozi lile ni Asprin mchaga kikongwe asiyependa kuzeeka(siku hiyo atakuwa kaenda saluni kuupiga uso deck na kuweka wave na super black[emoji23]
Mama akiendelea kuangaza kwa taratibu sana atamuona kwenye kona mtu mmoja katulia sana atajisemea huyu hakosi kuwa Bujibuji Simba Nyamaume
Kwa vyovyote Maxence Melo atakuwepo akiwa kapendeza sana! Huyu anawatambua baadhi ya members kwa sura.. Kuna kipindi atamuinamia mama na watateta jambo kisha watatabasamu, ujue hapo atakuwa kamuonyesha mama kuwa yule mzee mwenye suti pale ndio johnthebaptist na pale tayari keshaandika mada tatu za mistari 6
Kuna wanyange pia watakuwepo wamependeza mno kina Dr. Mariposa na wengine wengi
Hakika itakuwa siku ya furaha kuu.. Ila Team SELFIKA watakosa cha kutupia maana simu zote camera zake zitakuwa hazifanyi kazi kwa muda [emoji23]
Mimi kama nitaalikwa sasa...!View attachment 2542490
🤣🤣🤣Huyo wewe sasaSijui diku hiyo itakuwaje

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu Jobless hajapata Alerts tu kwamba mama kasema anapitiaga JF,angekuwa kashapata taarifa jana ileile angeshaunda nyuzi zaidi ya 6 tusubiri apate bundle kwanza tuone
Ha ha ha kwa mfano Behaviourist ?[emoji23]Kuna watu humu wakialikwa Ikulu kwa kutumia ID zao watashikiliwa kwanza kwa mahojiano [emoji23][emoji23][emoji23]
Du!Nitajikuta nanyoosha dole gumba [emoji106]
Wengi watajua ni ishara ya ccm mbele kwa mbele ila uhalisia ntakua nagonga like [emoji23]
🤣🤣Kwa kweliBasi sitavaa hivyo [emoji23]
Vp cha kwanzaJf wanajitahidi tahidi nao kuwa na pisi,i hope nao watakuwepo i hope ntachukua namba za huyo wa pili View attachment 2542503
Duh🤭🤭🤭🤭🤭Sijui diku hiyo itakuwaje
Mama kaweka wazi kuwa huwa anapitia huku JF na kuperuzi majukwaa mbalimbali, am sure huwa kuna baadhi ya ID, post, replies huwa vinamchekesha sana
Yanayodhaniwa hayawezekani kuna siku yanaweza kuwezekana! Chakula cha usiku /get together wana JF na mama rais kwa mwaliko maalum!
Siku hiyo hao watakaobahatika kualikwa am sure watavunja makabati kwa kutafuta kiwalo kikali cha kuonekana kwenye video na rais
Sasa kichekesho kitakuja hapo ukumbini... Mama akiwa kakaa meza kuu anawaangalia waalikwa wake walivyo wapole na watakatifu... Kwakuwa kutakuwa hakuna kutambulishana ID za JF.. Basi mama atakuwa tu anafanya guess work kichwani mwake [emoji23]
Yule kwa kumtazama tuu ni rickboy Mzee wa kula tunda kimasihara
Yule kwa pozi lile ni Asprin mchaga kikongwe asiyependa kuzeeka(siku hiyo atakuwa kaenda saluni kuupiga uso deck na kuweka wave na super black[emoji23]
Mama akiendelea kuangaza kwa taratibu sana atamuona kwenye kona mtu mmoja katulia sana atajisemea huyu hakosi kuwa Bujibuji Simba Nyamaume
Kwa vyovyote Maxence Melo atakuwepo akiwa kapendeza sana! Huyu anawatambua baadhi ya members kwa sura.. Kuna kipindi atamuinamia mama na watateta jambo kisha watatabasamu, ujue hapo atakuwa kamuonyesha mama kuwa yule mzee mwenye suti pale ndio johnthebaptist na pale tayari keshaandika mada tatu za mistari 6
Kuna wanyange pia watakuwepo wamependeza mno kina Dr. Mariposa na wengine wengi
Hakika itakuwa siku ya furaha kuu.. Ila Team SELFIKA watakosa cha kutupia maana simu zote camera zake zitakuwa hazifanyi kazi kwa muda [emoji23]
Mimi kama nitaalikwa sasa...!View attachment 2542490
We mpare unikome. Tangu lini nimegoma kuzeeka ilhali kila mchuchu hapa JF ananiita babu kiroho safi kabisa?Sijui diku hiyo itakuwaje