donlucchese JF-Expert Member Joined Mar 23, 2011 Posts 17,258 Reaction score 22,129 Nov 7, 2017 Thread starter #21 Mwana Mtoka Pabaya said: Hii sahani loh! Si inakuondolea hata hamu ya kula? Uliinunua au uliipewa jeshini? Tunapoenda kununua vyombo tafadhali kazi ya kuchagua tuwaachie wake zetu. Mimi shuka tu ya rangi hiyo silalii, maana nitaota nipo kwenye kambi ya wakimbizi Kasulu. Click to expand...
Mwana Mtoka Pabaya said: Hii sahani loh! Si inakuondolea hata hamu ya kula? Uliinunua au uliipewa jeshini? Tunapoenda kununua vyombo tafadhali kazi ya kuchagua tuwaachie wake zetu. Mimi shuka tu ya rangi hiyo silalii, maana nitaota nipo kwenye kambi ya wakimbizi Kasulu. Click to expand...
Totos Boss JF-Expert Member Joined Dec 30, 2012 Posts 5,456 Reaction score 1,569 Nov 7, 2017 #22 Mkuu wanasemaga si kwa awamu hii wewe vipi?
donlucchese JF-Expert Member Joined Mar 23, 2011 Posts 17,258 Reaction score 22,129 Nov 7, 2017 Thread starter #23 Totos Boss said: Mkuu wanasemaga si kwa awamu hii wewe vipi? Click to expand... Hahah, kibishi mkuu
mayenga JF-Expert Member Joined Sep 6, 2009 Posts 4,118 Reaction score 1,973 Nov 7, 2017 #24 vyakula vyote hivyo magonjwa matupu.