englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
ata icho chakula kinapita kweli? si utaanza kutokwa mikojo tu..
hapo chacha,haja yenye iwe ile ya kupitia mlango wa uwani,dosalaleeee!Ukibanwa na haja sijui inakuwaje hapo?
Hiyo iliyowabeba sharti la kwanza ni kutotazama
chini ndiyo chakula ishuke vema.
Ya nini kutiana presha..!? Msosi tu..!!??
Unavalishwa daiper!kabla hujaketi hewani!Ukibanwa na haja sijui inakuwaje hapo?
Hicho kivazi sio kwa watoto tu?Unavalishwa daiper!kabla hujaketi hewani!
zipo za watu wazima pia mkuu 🙂Hicho kivazi sio kwa watoto tu?