Renegade
Platinum Member
- Mar 18, 2009
- 7,964
- 8,634
Watu wazima walio wazima?zipo za watu wazima pia mkuu 🙂
Watu wazima walio wazima?zipo za watu wazima pia mkuu 🙂
Mmh....si ntaishia kutapika chakla chenyewe? Kuna seatbelts?
zipo za watu wazima pia mkuu 🙂
Ha ha ha umenichekesha sana...ofcoz za wagonjwa(wasoweza kujizuia haja kubwa au ndogo) lakini watu wazima walo wazima pia wanaweza kutumia incase of emergence kama hio!!Watu wazima walio wazima?
he he he 🙂🙂🙂🙂
nataka yahaya akija anipeleke huku ntafurahijeee yahaya wangfu uko wapi yahaya..............
Morning...mh uende msalani kabla hujapanda kwenye hio kitu...Morning friend!!!!
mwenzio nimeahidiwa kwenda kula dinner in the SKY!!!!LOL
Morning...mh uende msalani kabla hujapanda kwenye hio kitu...
Morning...mh uende msalani kabla hujapanda kwenye hio kitu...
Morning...mh uende msalani kabla hujapanda kwenye hio kitu...
Kimechachamaa mama naona wakati wakulala na nikiamka hali ni mbaya...Bi shosti vp kifua unaendeleaje?
Kimechachamaa mama naona wakati wakulala na nikiamka hali ni mbaya...
mimi siruhusiwi kukupeleka?Nataka Yahaya akija anipeleke huku ntafurahijeee Yahaya wangfu uko wapi Yahaya..............
Sawa nitafanya hivyo...🙂Pole sana saga tangawizi alafu changanya na asali kidogo then kunywa itakusaidia sana my dear