Dini zinazoruhusu kuwa na mke zaidi ya mmoja zinazungumziaje suala la “threesome”?

Threesome si lazima unyonye hivyo ulivyovitaja. Actually ume-elaborate sana hadi nimehisi una uzoefu.

Kuhusu uchafu, sex ni uchafu. Kama wataka usafi usifanye ngono!

Halafu sielewi why pornografia huwa inapewa ubaya ambao hata hauna maana. Yani sex ifanywe vyumbani ila ikirekodiwa tu basi ishakuwa mbaya? UNAFIKI!!!
Labda Kama Wewe ushawai fanya three some....na unajua yanayofanyika huko...ila.kwa Porn..hayo ndo nimeyaona.

Sex Sio uchafu Ni tendo zuri Sana na kuburudisha na kustarehesha ...Huo uchafu mnalazimisha nyie..kwa kufukua mitaro na Kunyonya Vinyeo...

But sex ya kawaida UCHAFU WAKE NI UPI?
 
Kwa Imani ya Kiislam, tendo la ndoa ni ibada, na mnapolifanya mke na mume mnapata malipo ( thawabu). Katika tendo hilo faragha ni jambo muhimu sana, hivyo si ruhusa kufanya tendo hilo mbele ya mtu mwingine yeyote zaidi ya mke na mume tu. Hivyo hata kwa wenye ndoa za mitala ni mke mmoja kwa wakati wake ndio maana kuna zamu za kuwaendea hao wake kila mmoja sehemu yake. Huwezi kuwachanganya wote mahala pamoja.
Swadakta kabisa hikma ya kuweka Zamu ni kumpa kila mke haki yake kwa ya faragha kwa wakati wake na hairuhusiwi hata kuhadisia mke mwengine uzuri au thaifu wa mke mwengine .Allahu Aalam.
 
Threesome si lazima unyonye hivyo ulivyovitaja. Actually ume-elaborate sana hadi nimehisi una uzoefu.

Kuhusu uchafu, sex ni uchafu. Kama wataka usafi usifanye ngono!

Halafu sielewi why pornografia huwa inapewa ubaya ambao hata hauna maana. Yani sex ifanywe vyumbani ila ikirekodiwa tu basi ishakuwa mbaya? UNAFIKI!!!
Mkuuu...Kama unaangalia pornography
Na ukazoea Utayaona yale yanayofanyika kule Ni yakawaida kabisa....Yaani unaona Kama nisawa kabisa wafanyayo..

Nawewe kuyafanya utaona Ni sawa kabisa..
Ndo Maana unaona mume kulala na wake zake wawili au wote wanna kwa mkupuo Ni sawa...
 
Kunyonya! Nakula nusu nitapike.

pornography ndio zimetufikisha huku, zamani sisi wasukumu tulikuwa tumezoea unarukia kwa juu yameisha wala hatukua na staili hizi. Leo mnatumbia tunyonys uchafu hapaaaaana
 
Mkuuu...Kama unaangalia pornography
Na ukazoea Utayaona yale yanayofanyika kule Ni yakawaida kabisa....Yaani unaona Kama nisawa kabisa wafanyayo..

Nawewe kuyafanya utaona Ni sawa kabisa..
Ndo Maana unaona mume kulala na wake zake wawili au wote wanna kwa mkupuo Ni sawa...

Mkuu, usi-judge sana wanaoangalia porn wakati nawe unayajua yote yanayofanyika kwenye pornography ikimaanisha kuwa unaangalia pia. Au unataka kusema ulisimuliwa?
 
Labda Kama Wewe ushawai fanya three some....na unajua yanayofanyika huko...ila.kwa Porn..hayo ndo nimeyaona.

Sex Sio uchafu Ni tendo zuri Sana na kuburudisha na kustarehesha ...Huo uchafu mnalazimisha nyie..kwa kufukua mitaro na Kunyonya Vinyeo...

But sex ya kawaida UCHAFU WAKE NI UPI?

Hivi kama mtu ni wa kufukua mitaro au kunyonya vinyeo si anaweza kufanya hata na mke mmoja!!! Kweli kufukua mtaro lazima uwe na wake wawili?

Naelewa hufurahishwi na idea ya mume kufanya mapenzi na wake zake kwa pamoja ila sababu unazotoa hazina mantiki.
 
Unaelewa maana ya maumbile? Hili neno huwa mnalitumia vibaya sana.
Bhasi aliyeitunga atakuwa ni fundi kweli kweli maana inapita mule mule kwenye maumble ya mwanadam na mahitaji yake. Na labda kupitia tamaa hizi hizi Mzee Yakobo (Aman iwe juu yake) akaunda makabila 12 kwa kuwazalisha wamama Lea, Rahel, Bilha na Zilpa (rehma ziwe juu yao)
 
Navuta picha kati ya hao wanne kama mmoja huwa unamla mtandao pendwa na wengine wanagoma uwe makini usije ukaachika bure mkianza threesome
 
Hivi kama mtu ni wa kufukua mitaro au kunyonya vinyeo si anaweza kufanya hata na mke mmoja!!! Kweli kufukua mtaro lazima uwe na wake wawili?

Naelewa hufurahishwi na idea ya mume kufanya mapenzi na wake zake kwa pamoja ila sababu unazotoa hazina mantiki.
Hayo matusi uliyoongea hapo halafu nikiangalia na hiyo avatar basi huku kwangu matatizo matupu
 
Mkuu, usi-judge sana wanaoangalia porn wakati nawe unayajua yote yanayofanyika kwenye pornography ikimaanisha kuwa unaangalia pia. Au unataka kusema ulisimuliwa?
Nimesema Nimeshayaona....wapi nimesema nimesimuliwa.....Nimeangalia ila nachokwakwambia UACHE kuaangalia Kama nilivyo acha Mimi...

Hakuna faida yoyote unayopata zaidi ya kuona Yale yatendekayo mule Ni SAWA...

Ndo Maana wanawake wanafilwa kwa sababu wanaangalia wanaona Kama Yale Ni yakawaida ...ndo Maana hata wewe unatetea Kufanya threesome kwasababu umeangalia Sana ukaona Ni kawaida.

Mambo machafu ukiyazoea UNAYAHALALISHA..inafaika mahala unawashangaaa wasiofanya.
 
Hivi kama mtu ni wa kufukua mitaro au kunyonya vinyeo si anaweza kufanya hata na mke mmoja!!! Kweli kufukua mtaro lazima uwe na wake wawili?

Naelewa hufurahishwi na idea ya mume kufanya mapenzi na wake zake kwa pamoja ila sababu unazotoa hazina mantiki.
Kwenye kufukua mitaro sijaongelea mume na mke...wapo wanaofanya na Mimi sipo huko..

Nilichokua namaanisha Ni pale uliposema Sex Ni uchafu...UZINIFU Ni chafu...

But kitendo Cha kufanya tendo la ndoa hakijawai kuwa tendo chafu...

uchafu tunauweka sisi kwenye Hilo tendo..Kama mfano hapo juu
 
ACHA THREESOME TU....KULALA TU CHUMBA KIMOJA NA WAKE WAWILI NI DHAMBI KUBWA, ACHILIA MBALI KITANDA KIMOJA...
 
Hakuna maandiko yaliyoruhusu wake zaidi ya 1
Mengi yakifanywa sababu ya tamaa za wanadamu....
Huwezi watumikia mabwana wawili
Hiyo ni kwa mujibu wa unachokiamini wewe.

Tia hili kichwani mwako.
Kharam kwako, halali kwa mwingine na kinyume chake.
-Na kwakuwa mla kharam hiyo (kwako) hakuingilii kwa chochote,
Unaonaje ukaacha kumdhihaki?
Kufany ahivyo ni uungwana.

Dhihaka si nzuri, hasa ukihusisha maswala ya Imani ya mwenzako.
 
Kwenye kufukua mitaro sijaongelea mume na mke...wapo wanaofanya na Mimi sipo huko..

Nilichokua namaanisha Ni pale uliposema Sex Ni uchafu...UZINIFU Ni chafu...

But kitendo Cha kufanya tendo la ndoa hakijawai kuwa tendo chafu...

uchafu tunauweka sisi kwenye Hilo tendo..Kama mfano hapo juu
Ukhty Maashaa Allaah...umeamua kubadilika kweli aisee... ALLAAH AZIDI KUKUONGOZA...
 
Nimesema Nimeshayaona....wapi nimesema nimesimuliwa.....Nimeangalia ila nachokwakwambia UACHE kuaangalia Kama nilivyo acha Mimi...

Hakuna faida yoyote unayopata zaidi ya kuona Yale yatendekayo mule Ni SAWA...

Ndo Maana wanawake wanafilwa kwa sababu wanaangalia wanaona Kama Yale Ni yakawaida ...ndo Maana hata wewe unatetea Kufanya threesome kwasababu umeangalia Sana ukaona Ni kawaida.

Mambo machafu ukiyazoea UNAYAHALALISHA..inafaika mahala unawashangaaa wasiofanya.

Kweli unaamini wanawake wanaliwa tigo kwa sababu wanaangalia pornography? Kwamba mambo ya kuliwa tigo yamekuja na teknolojia ya multimedia?

Mmhh??!!!!
 
Kwenye kufukua mitaro sijaongelea mume na mke...wapo wanaofanya na Mimi sipo huko..

Nilichokua namaanisha Ni pale uliposema Sex Ni uchafu...UZINIFU Ni chafu...

But kitendo Cha kufanya tendo la ndoa hakijawai kuwa tendo chafu...

uchafu tunauweka sisi kwenye Hilo tendo..Kama mfano hapo juu

Nisamehe. Mi nilidhani na wewe unafanya sex kama sisi ile ya kukiss, kulambana, kunyonyana na kupapasana. Kumbe unafanya ya kitakatifu ya kugusanisha hasi na chanya tu kisha mnalala.
 
Kweli unaamini wanawake wanaliwa tigo kwa sababu wanaangalia pornography? Kwamba mambo ya kuliwa tigo yamekuja na teknolojia ya multimedia?

Mmhh??!!!!
Kuliwa Tigo Naamini kupo tangu enzi na enzi..
Lakini kusikia Sio Sawa na kuona Ndungu...
Hata Hawa vijana wanao fanyia mabinti hivyoo..wengi wanaanza kusikia..baadae wanaona demonstration...

Nadhani ushawai kuona jinsi watu wanavyoshadadia connection. Sijui za mtoto wa IFM Mara Gwajima Mara Menina....

Ndo Maana hata mwalimu akionesha characteristics za Hydrogen laboratory Ni Tofauti na akikwambia TU.
 
kila mtu afanye analopenda, so long havunji sheria za nchi... kuhusu 3-some ni fantansy ya karibu kila mwanaume .. kujifanya hamjui hili ndio unafiki wenyewe... mtoa mada kauliza kama ni sawa au common kwa 'walioruhusiwa'kuoa zaidi ya mmoja kuwa na 3-some, mimi nakujibu ina depend, mwanaume mshika dini atafuata miongozo yake katika hili,namaanisha hatafanya 3-some, ila kwa wale waliooa kisa dinai inaruhusu,na hawafuati miongozo mengine ya dini, i'm not 'suprised' kama atafanya 3-some...mshika dini atamrespect mkewe sababu badala ya kuangalia porn na being exposed to wild sex techniques yeye instead anasoma quran, ndio maana ni muhimu kujua background ya mtu unayemuoa/olewa....my two cents
 
Back
Top Bottom