Dini zinavyoharibu watu akili

sheria za ndoa zinasemaje apa bongo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
msichàna chini ya miaka 18 unaruhusiwa kuowa vizuri tu bila shida kama maumbile ya mwili wake yanaruhusu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kitu kama hicho mtoto ni mtoto tu ata awe na umbo kama nyumba , ndio maana nimesoma Aisha alikuwa analishwa Sana ili anenepe
Huyu hapa yupo kwa muhammad midoli yake
Sahih Muslim 817-875 A.D. 261 A.H.
2c. "(5981) 'A'isha aliripoti kwamba alikuwa akicheza na mwanasesere mbele ya Muhammad na wakati watoto wenzake walipo muona mtume waliondoka (nyumbani) kwa sababu walihisi aibu Mbele ya Muhammad. na Muhammad akawaruhusu waendelee kucheza nae .
 
lete ushaidi sahihi muslimu ninayo apa

Sent using Jamii Forums mobile app
Shetani alikuwa pia anamuongoza muhammad kufanya mema 😂😂😂😂😂 na nyie waislamu shetani yupo na nyie
Soma
Abdullah b. Mas'ud reported that Allah's Messenger (ﷺ) said:
There is none amongst you with whom is not an attache from amongst the jinn (devil). They (the Companions) said: Allah's Messenger, with you too? Thereupon he said: Yes, but Allah helps me against him and so I am safe from his hand and he does not command me but for good.
 
sahihi muslimu nimeisoma na ninayo apa inabidi uelewe hakuna mafundisho ya uislamu yanaruhusu mtoto acheze na midoli ni haramu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sahihi muslimu nimeisoma na ninayo apa inabidi uelewe hakuna mafundisho ya uislamu yanaruhusu mtoto acheze na midoli ni haramu

Sent using Jamii Forums mobile app
Thinitisha hii Hadith ni uongo
Sahih Muslim 817-875 A.D. 261 A.H.
2c. "(5981) 'A'isha aliripoti kwamba alikuwa akicheza na mwanasesere mbele ya Muhammad na wakati watoto wenzake walipo muona mtume waliondoka (nyumbani) kwa sababu walihisi aibu Mbele ya Muhammad. na Muhammad akawaruhusu waendelee kucheza nae .
 
sahihi muslimu yako umeitowa wapi? mnabadilisha adith sahihi kwa makusudi ili muwapotoshe waislamu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sahihi muslimu yako umeitowa wapi? mnabadilisha adith sahihi kwa makusudi ili muwapotoshe waislamu

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeweka mpaka Hadith number , ni simple tu sema Hadith hiyo ni uongo na weka Hadith hiyo ya kweli

Sahih Muslim 817-875 A.D. 261 A.H.
2c. "(5981) 'A'isha aliripoti kwamba alikuwa akicheza na mwanasesere mbele ya Muhammad na wakati watoto wenzake walipo muona mtume waliondoka (nyumbani) kwa sababu walihisi aibu Mbele ya Muhammad. na Muhammad akawaruhusu waendelee kucheza nae .
 
sasa kinachokushangaza kipi apo tafuta watafsiri wakufafanulie adith vizuri unasoma adith za mtume kama kitabu cha juma na uredi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sahihi muslimu yako umeitowa wapi? mnabadilisha adith sahihi kwa makusudi ili muwapotoshe waislamu

Sent using Jamii Forums mobile app
Narrated `Aisha:

I used to play with the dolls in the presence of the Prophet, and my girl friends also used to play with me. When Allah's Messenger (ﷺ) used to enter (my dwelling place) they used to hide themselves, but the Prophet would call them to join and play with me. (Fath-ul-Bari page 143, Vol.13) Sahih al-Bukhari 6130
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…