DissDotCom
JF-Expert Member
- Mar 31, 2014
- 395
- 271
- Thread starter
-
- #21
Kwa sisi wakristo tunaamini mwanamke hupokea toka kwa mume hivyo yakupasa kudhungumza nae mapema kuhusu mapokeo.kama akikataa Pima kwa nafsi yako...lakini ndoa za Dini mbili mwisho wake huwa mahakamani
Unajua ukishazama umezama... usikii mtu yeyote.. kwnza nkushukuru kwa kujitambua mapema make bado hujachelewa tumia mda kuanzia sasa uanze na familia yako uone mitazamo yao afu baada ya hapo hamia familia ya kiken uwasikilize na wao km wanavutia upande wao ama vp.. baada ya hapo utakua umepata namna nyingne ya kutafakari upya juu ya uhusiano wenu 7bu mapenz ya kweli hayawez kuisha kwa siku moja..Na dini katk mahusiano zipo kwa ajili ya kutuwekea misingi mizuri ya namna gan tuish na wenzi wetu na kuleta suluhu pale inapotokea kutoelewana..
Hakuna hasara la msingi mapenzi ya dhati tuHabari Wakuu,
Najua wengi wamekutana na jambo hili nina mpenzi wangu mwaka wa tatu sasa ila dini tofauti na nikimuuliza kuhusiana na dini anawaka anasema itakua namtafutia sababu tuachane.
Nifahaishane faida na hasara za kuishi kwa dini tofauti ndani ya ndoa.
Mimi Christian binti Islamic
amina kaka ushauri wako umenipa mwanga flani mpya
"Lazima huyo binti abadili dini" punguani kweli wewe.
Wewe mawazo yako yanatoka katikati ya makalio yako wala sio akilini
Fuatilia dini yako inasemaje kuhusu hilo. Mwenzio aneshajua ndio maana anaaema hivyo.Habari Wakuu,
Najua wengi wamekutana na jambo hili nina mpenzi wangu mwaka wa tatu sasa ila dini tofauti na nikimuuliza kuhusiana na dini anawaka anasema itakua namtafutia sababu tuachane.
Nifahaishane faida na hasara za kuishi kwa dini tofauti ndani ya ndoa.
Mimi Christian binti Islamic
We kweli punga yaan kwa akili yako ya std 7 eti lazima mwanamke abadili dini!!shida yako muongezeke motoni?toa unyang'au wako,kwanza ili kuniqouet lazima uwe umevuliwa sweta usiridie tena gasho wewe.
Hakuna namna lazima mmoja akubali kuachana na ya kwake afuate ya mwenzie .. au akubali familia kuongozwa katika dini moja (watoto).. ila kwa maelezo ya jamaa inaonekana hakuna hata mmoja yupo tayari kuacha anachokiamini
Ndani mnaleta imani mbili tofauti.
Mtakuja kuwachanganya watoto wasielewe wapi waende linapokuja suala la imani.
Kumbuka kutofungiwa nira na asiyeamini.
Watoto watayumbishwa sana wapate elimu ya dini upande upi.
Pia kama ni muislamu haswaa tegemea wewe kusilimishwa.
Lakini ujue wakati mwingine atakataa kupika aina fulani ya vyakula ambavyo vinakizana na imani yake.
Akiamua kufunga tegemea kutokupata huduma ya ngono kwa siku zote za mfungo.
Lakini pia kwao ndoa mkataba anaweza kudai taraka wakati wowote ili muachane.
Huyo hakufai kabisa.