Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,729
- 5,639
"Matukio ya watoto kuua wazazi,wanandoa kuua wenzi wao,haya mambo yanaonyesha mabadiliko katika falsafa za watu"."....... And a new religion shall sweep across the land."
Matukio ya watoto kuua wazazi,wanandoa kuua wenzi wao,haya mambo yanaonyesha mabadiliko katika falsafa za watu.
Watu wanajiuliza kama wanahitaji mke. Haya mambo Godbless Lema alikuwa anayazungumzia leo asubuhi. Kuna tatizo gani? Hakuna tatizo. Ni dini ya Shetani tu. Certainly hao watu hawahitaji kupimwa afya ya akili.
Unapotosha ukiaminisha watu matukio haya ni mapya.."....... And a new religion shall sweep across the land."
Matukio ya watoto kuua wazazi, wanandoa kuua wenzi wao, haya mambo yanaonyesha mabadiliko katika falsafa za watu.
Watu wanajiuliza kama wanahitaji mke. Haya mambo Godbless Lema alikuwa anayazungumzia leo asubuhi. Kuna tatizo gani? Hakuna tatizo. Ni dini ya Shetani tu. Certainly hao watu hawahitaji kupimwa afya ya akili.
Unapotosha ukiaminisha watu matukio haya ni mapya..
Yapo tangu enzi na enzi..Tena naweza argue,kustaaribika kwa watu,uwepo wa Sheria, yamepunguza sana haya matukio.
Watu wanashindwwa ku ret engeneza jela kwa sBabu okano nyinnvine zinWasa loo ki t.Mambo haya ni mapya. Walikuwa wanayajadili jana BBC swahili wanasema,"mbona ghafla tunaona watu wanazidisha kuuana?"Unapotosha ukiaminisha watu matukio haya ni mapya..
Yapo tangu enzi na enzi..Tena naweza argue,kustaaribika kwa watu,uwepo wa Sheria, yamepunguza sana haya matukio.
Huko nigeria jana wamekata watu 4 wanaokula nankuuza nyama ya binadamu
Wanafiki watu na sio dini,dini zimekuwepo makarneI wish ije mpya..hizi zilizopo zimejaa wanafiki watupu.
#MaendeleoHayanaChama
Ila ndio zimetengeneza wanafiki..na hakuna kirudi nyuma tena..Wanafiki watu na sio dini,dini zimekuwepo makarne
Naunga mkono hoja mheshimiwa spikaš¤£Nimeamka asubuhi leo nikaamua kusoma Hadith. Nilikuwa nafikiria"hawa Waislamu wanaitwa wastaarabu lakini mbona hawafanyi mambo ya kistaarabu barabarani"?
Nikasoma,baada ya muda nikaifikia hii statement,
Allah's Apostle said, "By Him in Whose Hands my life is, none of you will have faith till he loves me more than his father and his children."
Halafu hii statement,
The Prophet said "None of you will have faith till he loves me more than his father, his children and all mankind."
Kabla ya hapo Muhammad alikuwa amesema,
The Prophet said, "None of you will have faith till he wishes for his (Muslim) brother what he likes for himself." .
Ugomvi wangu na hizi statements,hii ya chini,kwa mfano,"Waislamu wapendane",ina maana upendo ni kwa Waislamu wenyewe,hauwahusu watu wengine.
Au ukisema "Waislamu wasimpende baba yao au mama yao au mtoto wao,ila wampende Mtume tu.
Au unaposema dunia nzima isipendwe isipikuwa Muhammad tu. Hiyo siyo recipe for terrorism?
Nakuona unajifariji zamani hukuwepoHata zamani matukio yalikuwepo ila taarifa ndo hazikuwepo
Dini hiyo ya kipepo"....... And a new religion shall sweep across the land."
Matukio ya watoto kuua wazazi, wanandoa kuua wenzi wao, haya mambo yanaonyesha mabadiliko katika falsafa za watu.
Watu wanajiuliza kama wanahitaji mke. Haya mambo Godbless Lema alikuwa anayazungumzia leo asubuhi. Kuna tatizo gani? Hakuna tatizo. Ni dini ya Shetani tu. Certainly hao watu hawahitaji kupimwa afya ya akili.
Huyo ajashiba dini kwenda kanisani au msikitini na kumjua Mungu ni vitu viwili tofautiIla ndio zimetengeneza wanafiki..na hakuna kirudi nyuma tena..
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app