Unatumia hii Mshana?Juju haliendi kwa mentali (mental[emoji31]?)View attachment 2435742
Hata mimi nilipowaona nikajua kabisa HAWA NI MASHEIKH UBWABWA KABISA NA HAWAJUI HATA WANACHOKIONGEA
Hii ishu ya huyu 'nabii' ilishafikishwa kwenye vyombo vya kisheria na ndoa ilivunjwa kisheria 2014, miaka 8 iliyopita!
Sijui ninini kilichoiibua tena hivi karibuni! Ama pengine ni ujio wa huyo nabii ziara ya Dar?
Kwa nini akaamua kuwatumia hawa ma ustaadh kama dodoki? Na kwanini nao hata kama ni kuamua kumsafisha mtu kwanini wasingekuwa well informed? Mbona nao wamedanganywa na kupotoshwa?
Nina maslahi na hili dodoki lao kwakuwa mada ya kwanza niliandika mimi 2014, na kwenye blahblah zao imetajwa mitandao ya kijamii na JF kama mfano hai?
Kuna bongo movi gani tunaandaliwa hapa? Ya PAP? Ama kuna nyingine yaja?
Nimejisikia vibaya wale "ma sheikh" walivyokuwa wanajidhalilisha mbele ya camera! Hivi ni uchungu gani huo mkubwa uliowapata kwa mtu aliyethibitishwa ugoni?
Kuna mix grill tunachanganyiwa hapa
Masheik halisi na hawa wa nabii
Manabii wengine waliopondwa na huyo nabii wa hao masheikh ubwabwa.. Kuna uchonganishi unatengenezwa wadanganyika!
Gutukeni
Ukiona paka anamsifia panya kuwa ni mjanja. Tafakari!Bado upo kwenye kiringe msata nenda bar ya msukuma upige bia mbili nakuja kulipa
USSR
Naona kangetaa hapo na sigara bwege, Big G original. Raha ya hivyo vitu uwe Nairobi.Juju haliendi kwa mentali (mental[emoji31]?)View attachment 2435742
Madhara yakushindwa kushikilia tumbo ndiyo matokeo ya mwili kutetema😀Hata mimi nilipowaona nikajua kabisa HAWA NI MASHEIKH UBWABWA KABISA NA HAWAJUI HATA WANACHOKIONGEA
Yupo jela anatunzwa mvua 7Don nalimison..huyu mwamba sijui kapotelea wapi na ngoma zake ya kiwaki..[emoji28][emoji28]
#MaendeleoHayanaChama
Alitishia kumuua bi mkubwa wake.Kisa?
Hawa hapa ndugu zakoView attachment 2438843
Haxa hongera kwa kucomment bwana mkubwaTukiwaambia hizi dini ni story tu hamuamini masheikh wenu wanamtetea kafir sasa
Hawa hapa ndugu zakoView attachment 2438843