Dini imeingiliwa?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,504
Reaction score
872,359

Hii ishu ya huyu 'nabii' ilishafikishwa kwenye vyombo vya kisheria na ndoa ilivunjwa kisheria 2014, miaka 8 iliyopita!
Sijui ninini kilichoiibua tena hivi karibuni! Ama pengine ni ujio wa huyo nabii ziara ya Dar?

Kwa nini akaamua kuwatumia hawa ma ustaadh kama dodoki? Na kwanini nao hata kama ni kuamua kumsafisha mtu kwanini wasingekuwa well informed? Mbona nao wamedanganywa na kupotoshwa?
Nina maslahi na hili dodoki lao kwakuwa mada ya kwanza niliandika mimi 2014, na kwenye blahblah zao imetajwa mitandao ya kijamii na JF kama mfano hai?
Kuna bongo movi gani tunaandaliwa hapa? Ya PAP? Ama kuna nyingine yaja?

Nimejisikia vibaya wale "ma sheikh" walivyokuwa wanajidhalilisha mbele ya camera! Hivi ni uchungu gani huo mkubwa uliowapata kwa mtu aliyethibitishwa ugoni?

Kuna mix grill tunachanganyiwa hapa
Masheik halisi na hawa wa nabii
Manabii wengine waliopondwa na huyo nabii wa hao masheikh ubwabwa.. Kuna uchonganishi unatengenezwa wadanganyika!
Gutukeni
 
Bado upo kwenye kiringe msata nenda bar ya msukuma upige bia mbili nakuja kulipa

USSR
 
Nabii wa Arusha ni muhuni tu kama kama Deogratius Kisandu
 
 
Kwa kujua hao watu sio ulishaona Kuna mkutano wwt wa mashekh wakapiga makofi kaka waislm wakifurah jambo husema takbiir
 
Nabii mwenyewe anaitwa 'Dr' kama ilivyo kwa kiongozi wa nchi yetu, alikoupatia huo udokta anajua yeye na mahawala zake.

Binafsi naamini kwamba kiongozi yeyote (hasa hawa manabii) atayejiita ama anayekubali kuitwa Dr ktk mazingira kama alivyo pata udokta kiongozi wa nchi hii huyo ni mwakilishi wa shetani maana huishi kiujanja kijanja, akidanganya watu na huenda kusifiwa kama alivyo bosi wake (shetani)
 
Usicheze na ila wee mzeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…