Dini asilia za Kiafrika ni kati ya
dini za jadi ambazo zinadumu hata leo, ingawa wafuasi wake walipungua
mwaka hadi mwaka kulingana na
dini zilizotokea
Mashariki ya Kati, hasa
Ukristo na
Uislamu, ambazo zilienea
Afrika,
bara kubwa lenye
jamii na
tamaduni nyingi ila kwa sasa Dini za Asili za Kiafrika zimarudi kwa kasi.
Vinyago vya
Wakongo.
Leo hii Waafrika wengi wajinga bado wamejiunga na dini za Ukristo na Uislamu zinazomtangaza Mungu mmoja.
Imani hizo za Kiafrika zilikuwepo tangu miaka mingi katika sehemu kadhaa za Afrika lakini katika maeneo mengine dini za Ukristo na Uislamu ulienea tu vizazi vichache vilivyopita zikiendelea hadi leo.
Dini za asili, Ukristo na Uislamu zinaathiriana katika Afrika. Hivyo kuna watu ambao wanafuata imani za jadi au walau sehemu za imani hizo. Kwa hiyo inafaa kupata picha ya imani katika jamii za Waafrika jinsi zilivyokuwa kabla ya kuguswa na Uislamu na Ukristo.
Dini za Kiafrika zinafuata
imani maalumu, sawa kabisa na hizo za nje ambazo zimeleta mfumo mpya wa
kuabudu. Badala ya kuabudia ma
pangoni au
misituni kama Waafrika walio wengi walivyofanya kwa
karne nyingi, zimehimiza kujenga ma
kanisa na
misikiti kwa ajili ya kumwabudu
Mungu kadiri ya miongozo yao wenyewe.
Madhehebu mengi ya Kikristo yamekuwa yakimuabudu Mungu kwa kushirikiana na
wafu wanaoheshimiwa kama
watakatifu, wakati Waafrika tangu zamani waliwaenzi WAZEE wao waliokufa na kuwaita MIZIMU. Waafrika hao tangu zamani waliwaheshimu wafu kwenye ma
kaburi yao, lakini baadhi ya Wakristo waliwaheshimu wafu kanisani kwa
sala zao pamoja na kusujudu sanamu au
picha za hao wafu i.e.yesu
Katika
Amri Kumi za
Biblia, Waafrika kwa jumla walikuwa nazo hata kabla ya kuja kwa
Wazungu: walijua kwamba imewapasa kuwaheshimu
wazazi wao, kutoua, kutoiba wala kufanya kinyume na maagizo ya wazee wao.
Kwa mtazamo wa Kikristo, Mungu mwenyewe ndiye aliyewaandaa hivyo Waafrika kupokea
wokovu kwa njia ya
Yesu Kristo, aliyekuja si kutangua bali kukamilisha yale yote yaliyo mema katika
binadamu wote na siyo WATU wote.
Pamoja na hayo yote, bado baadhi ya ma
kabila yanaendelea na
mila zao za kuheshimu wafu ingawa dini zenye asili ya Mashariki ya Kati zinakataza namna hiyo.
Naimani umejielewa vizuri!!