Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,118
- 72,600
achana na hayo
ingia hassbaby domo wako ana nyimbo mpya nimeona
Nishaisikiaaa hiyo mimi tena
achana na hayo
ingia hassbaby domo wako ana nyimbo mpya nimeona
hahaha acha kuzuga bwana u know what i mean
Nishaisikiaaa hiyo mimi tena
Hujawahi niambia kitu acha uongo
Hivi Dinazarde unajiskiaje pale kidume kinavyolalamika na kinadiliki kubwatuka mbele ya watu kuwa kimekuzima?
Mimi nilikwambia majuzi kuna raia wanakutolea macho my caviar ukasema huwajui ndo hao sasa wamekuja macho makavuuuuu
uko faster hadi noma inazungumzia nn
we mwanamke kwa kunisingizia itabidi nikufungulie kesi ya kusingizia
Wakutanishe nini? daah, foleni ncheleweshe kwa ofisi, nipo busy jf
eti wanaozomea ni wapinzani?hahahaha,just give me a break,
basi kama ule umati wote ambao huwa unazomea ni upinzani,basi mambo safi sanaaaaaaaaaa,kuna nguvu kubwa kwa upinzani.