Sijampenda mhaya,akaniletea karaha
nimempenda msukuma,wenye wingi wa malezi,
simhitaji mnyamwezi,akashinda akijiremba,nakuhusujudu mrembo Dinazarde wakisukuma,
nikupeleke ukuryani, walipo mama na baba,
ukapike wa mihogo,umechanganywa mtama, nikubalie mrembo,nishushe mtima wangu,nitakuheshimu aslani,hutanyoa mchepuko.
siwezi kuoa wahaya,sitaki kufa mapema
siwezi oa mkurya,akanishinda kwa kipigo
kwako nitatulia, kama maji ya mtungi
nitakuheshimu abadani, hutanyoa mchepuko.
ombi likufikie,popote ulipo mrembo
salamu ziwafikie,wahaya wenye mapambo
sura ziwafilige,kama mama wa kambo
nitajitahidi mrembo, usije nyoa mchepuko.

Last edited by a moderator: