Dina Marios: Angel face!!!

Kwakuwa uzuri ni kwa yule anayetazama, basi mimi naiachia hivyo comment yangu. Maana mimi naangalia parameters fulani in order to qualify a person as beautiful, which might differ from other onlookers.
 
inaonekana kwa siku za hivi karibuni amekuwa mnene zaidi ya siku za nyuma.

dinabc.jpg
 
Tunaheshimu mawazo yako mkuu ila the beuty is in the eyes of beholder sio ukionacho wewe kizuri sie tukakiona kizuri pia ref mke wa remmy ongala.....
 
Mh!vipi ameshaolewa?

mkuu tukutuku, dina marios anakujibu hivi:

Ndugu zangu kuolewa si kwenda kusafisha nyota ili na wewe uonekane mjini umeolewa,mimi naliheshimu sana tukio la ndoa maana ni muunganiko kati ya mwanamke na mwanaume na kuwa kitu kimoja mpaka kifo kitakapowatenganisha kama imani ya dini yangu isemavyo.Mume na mke kufikiri na kutenda kama team moja,kufurahishana,kukasirishana,shida na raha mzipitie pamoja n.k....kuishi na mwenzako miaka nenda rudi ndani ya nyumba moja,chumba kimoja,kitanda kimoja si mchezo kila siku, kuanzisha familia pamoja namengine mengi.Sihitaji kukurupuka kukufurahisha wewe.

Mimi sipo desparate kutaka kuolewa am happy na maisha yangu so far,sihitaji mwanaume ndio aje kukamilisha au kuleta furaha katika maisha yangu,am happy with me.

Si kila mwanaume unaekuwa nae kama mpenzi basi lazima akuoe na kuwa mumeo,kuna wakati unakutana na mwanaume mnapendana kabisa lakini kuna vitu ambavyo vinafanya wewe na yeye msiweze kuoana.Kuna ambao si husband material wala father material.Mwingine hayupo tayari kuoa muda wake haujafika, mwingine tabia sio zenyewe kabisa.

Am 26 yrs old wala sijihisi kupungukiwa kitu katika maisha yangu...nitaolewa muda utakapofika wa kufanya hivyo na mwanaume ambae mimi Dina nimeona ananifaa kuwa mume wangu na baba wa watoto wangu.Kwasababu nitapenda kuwa mwanamke mwenye furaha japo najua ndoa ina mapito mengi lakini kama nitakuwa nimeolewa na mwanaume anaenipenda na mimi kumpenda tutayapita pamoja.
SITAOLEWA ILI KUUDANGANYA ULIMWENGU KUWA NA MIMI NIMEOLEWA..No one is in charge of my happiness except me....my head is my government.

dina%2Bnzuri.JPG
 
Nina mashaka huyu demu ni lesbo, lakini ni maisha yake hakuna mwenye haki ya kuingilia. Kama alivyosema mwenyewe, yeye ndiye in-charge wa maisha yake.
 
Jamani,
i wonder if Dina isn't a psychpathic woman!
 
at her level she is the best! unajua kila mtu ana mtazamo wake. ndivyo alivyo no way! tumpe big up tu. sikuelewa aliyeleta hizo picha alikuwa na maana gani may be tungeweza kusema mengi kuhusu yeye.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom