Dimples na mwanya havichakachuliki

Hakika wanaume watu wa ajabu sana. Huwa mnanishangaza baadhi ya vitu mnavyovutiwa navyo kwa kweli siwaelewi kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa ni watu wa ajabu ,mi namkumbuka boyfriend wangu mmoja yaani yeye alikuwa anataka nismile tu kila SAA aone tu huo mwanya ye anaridhika , tunatofautiana sana nao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwamba acha kabisa, hivi ni kweli vinavutia wanaume au ni sisi tu tumeamua kuvipa utofauti hivyo vitu viwili? Sie wanaume nako wakati mwingine ni kama akili zinaenda likizo kwanza
Kho kho
 
Siku hizi kuna "nip n' tuck", mwanya na dimples zinqchakachuliwa kama kawaida. Kuna kile kitobo kipo kwenye kidevu pia, wanachakachua vyote hivyo.
 
Kuna vile vishimo vinavyokuwa juu ya makalio/sehemu ya kiunoni mi huwa vinanichanganya

great thinker
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…